dah majina ni machache sana kwa afisa tawala ni watu 18 tu na afisa utumishi ni watu 60 interview tarehe 29/08 saa moja na nusu asubuhi kwenye room za uwanja mpya wa Taifa
ana haki ya kusema hapana kwa mujibu wao waliwaambia wasailiwa majina wataweka kwenye website ya shirika,na kwanini aitwe mtu mmoja tu wakati post zilikuwa nyingi na watu walikuwa wengi kwenye usaili
ulichokisema ni ukweli ndugu yangu na hao wanaocomment hovyo kwenye uzi wa mtu ukijaribu kuwaangalia ni walewale ambao wanafahamika kwa hiyo tabia yao nadhani lengo lao ni kuwakatisha tamaa wenzao ila watambue huo ni upuuzi,na pili wana tabia ya uzushi na uongo ili kuwatia hofu wenzao mfano tu...
utakuwaje lawyer au doctor bila ya mwalimu alokutoa ujinga na kukupa taaluma ya kujua hata kuna hiyo kitu noble professional,tuache kujifanya hatunazo kwa kudharau walimu,UALIMU NDIYO NOBLE PROFESSIONAL inayotupa hata uwezo wa kuongea haya tuyaongeayo
kaka matendo hongera kwa kuwa na sifa hizo maana kwa sasa nafasi nyingi za udereva zinataka leseni class C na uwe na elimu ya form IV,kuna kazi walitangaza Tanroads DSM deadline tarehe 11 AUGUST,na pia jaribu kutembelea website hii KaziBongo - Jobs in Tanzania huwa wanakuwa na matangazo ya kazi...
hongera na mpe shukrani za pekee mwenyezi mungu kwa kukufanikishia hilo,kikubwa fanya kazi kwa bidii,uaminifu na siku zote usimsahau mungu na uwafanyie wema wazazi wawili,ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.