Recent content by BIL300

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    mmi npo shirika la RELI hali ya shirika ilivyokuwa tunaijua ss mwakyembe ni kajitaidi sana.kuhusu behewa serikali ni tatizo kuwapa udhabuni wa kindugu wa 10 percent na ndio ulio tu cost trl.kitendo cha kuwapa udhabuni wahindi kwenda india kununua behewa hzo ndio chanzo kuleta behewa used.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Faustine aliyefukuzwa Tanzania na kukimbilia Kenya

    kumbe ni mbongo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    mwakyembe lait km angekuwa waziri mkuu ingetosh sana lkn kule EAST .A nikumpoteza tu na madawa ya kulevya yaweze kupita vizuri airport
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

    hyo pm ndio nan
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto Rais atawatetea watuhumiwa

    mbumbu km nyie ndio huwa hamkosi kuwepo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto Rais atawatetea watuhumiwa

    yaan nyie mnaotetea mnafanya nijisikie kichechefu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto Rais atawatetea watuhumiwa

    tyr mkubwa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto Rais atawatetea watuhumiwa

    Wakujiuzulu alikuwa ni Werema tu na si prof Muhongo,prof ntabaijuka na maswi.prof muhongo na ntabajuka itakuwa ngumu kujiuzulu ile ecrow hta bos wao alichukua na ndio maan watuhumiwa walikuwa na majibu ya nyodo (maswi,muhongo na maswi).Hivyo watanzania msitegemee rais kuwajibisha viongozi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona eti CCM bado inapata kura

    sana tuu bado majinga mengi haya jielewi tuzidi kuyabadili taratibu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona eti CCM bado inapata kura

    broo huoni km nimeipongeza ccm
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona eti CCM bado inapata kura

    pamoja na matatizo yote hya kwa wananchi.ufisadi kibao bado unatoka nyumban kwako unaenda kituoni kuipigia kura ccm jmn kweli kweli mtanzania mwenzangu hvi kwl una jicho la tatu.viongoz wanachota pesa zetu bila woga wwote. aiseeee nilijua ccm itapata labda kura 0 kwa 400 kwa ukawa lkn nashangaaa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    nimecheka nimecheka san hv kumbe urais ni simple cn ahaaaaaaaaaaaaaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila afunguka tena, sasa aituhumu Ikulu kuhusika na suala la ESCROW

    nikisikia mtu ni mwana ccm nachukia cnq
  14. B

    JamiiForums Tanzania Korea Ya Kaskazini yaishutumu Marekani kutengeneza kirusi cha Ebola

    North Korea has made a new accusation against the United States, stating that America is spreading the Ebola virus and is “bent on the development of bio-weapons” as a means of achieving world domination. A Korean Central News Agency (KCNA) report claims that an aide to former President Reagan...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

    Big up Mbowe
Back
Top Bottom