pamoja na matatizo yote hya kwa wananchi.ufisadi kibao bado unatoka nyumban kwako unaenda kituoni kuipigia kura ccm jmn kweli kweli mtanzania mwenzangu hvi kwl una jicho la tatu.viongoz wanachota pesa zetu bila woga wwote. aiseeee nilijua ccm itapata labda kura 0 kwa 400 kwa ukawa lkn nashangaaa kuona watu wamewapigia mafisadi cna dawa hosptal eeeeee bado unaipenda ccm jmn? hv una akili timamu kweli ww.ebu acha roho ya umaskini bhna aaaaaaaaa