Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

BIL300

Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
24
Reaction score
7
Hapa nacho ona hawa wabunge wa ccm wameisha jipanga kutetea mafisadi.

Unajisikiaje unapo muona mbunge wako akitetea mafisadi.
 
Bado kazi ni ngumu cna aiseeee kuikomboa taifa hili
 
ccm ni ma...---- yan hela zimeibiwa na bado wanatetea.wamenipa hasira sana nyoko kabisa
 
Hapa nacho ona hawa wabunge wa ccm wameisha jipanga kutetea mafisadi.unajisikiaje unapo muona mbunge wako akitetea mafisadi

Swali hili linamfaa Pasco na Assardsyria
 
Kweli elimu ni kitu Muhimu huyu mama anayechangia muda huu hajui kitu ni shida tupu anapewa taarifa ila mbishi kuelewa.
 
viongozi makini wapo UKAWA ila ni wachache sana waliomakini ambao ni tawala kama Filikunjombe.
 
Wao waongeeeee mimi nmeshika kura yangu mkononi kuanzia december nasulubu tu watu.....
 
Hapa nacho ona hawa wabunge wa ccm wameisha jipanga kutetea mafisadi.unajisikiaje unapo muona mbunge wako akitetea mafisadi

Acha ashqui,. Fisadi ni nani na kwa ushahidi gani? Sio kupayuka tu!
 
Natamani watz tuamke tufanye kama bukinafaso ,sambaza hili kwa ndugu jamaa na rafiki bila serikali kuwachukulia hatua wezi wa escrow hakuna kwenda kwenye sherehe za 9/12/..
 
Fedha za Singa singa zimepanga safu za kumtetea,nchi hii itakuwa masikini kwa kuendelea kuwaweka madarakani Wabunge wasiojari masilahi yetu Wananchi
 
Hapa nacho ona hawa wabunge wa ccm wameisha jipanga kutetea mafisadi.unajisikiaje unapo muona mbunge wako akitetea mafisadi
Kwa mazingira ya mjadala unavyoendelea bungeni, inaelekea 'mabulungutu' ya mapesa ya Singasinga na Rugemalila, yanaendelea 'kurushwa' kwenye akaunti za waheshimiwa wabunge wetu, kiasi ambacho wameamua kukomaa kuwatetea kwa nguvu zao zote, mafisadi waliohusika na kukwapua hizo bilioni 321.

Kweli sasa ndiyo tunaanza kuyakumbuka maneno ya mwalimu Nyerere, alipokuwa anatahadharisha sana kuwa serikali corrupt inaendeshwa na wafanyibiashara wakubwa wanaowahonga viongozi wao!
 
Back
Top Bottom