Wapendwa habari zenu.
Mimi kama binadamu wa kisasa nimebahitika kutembea na wapenzi wengi sana. Toka nimebarehe kwa kumbukumbu za haraka nimepita Kama na wapenzi 25 ninaowakumbuka.
Namkumbuka mwaka juzi nilipata mpenzi mmoja huko mbeya tuka enjoy vya kutosha Sana. Mpaka nikamtambulisha kwa...
Habari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2...
Pole sana kamanda, ktk mapambano kuna changamoto sana lkn yote kwa yote tumuachie mwenyezi Mungu. Ila ipo siku tutakuja toa ushuhuda hapa kuwa angalau tuna kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.