Hongera, Pambana, Mimi nilimaliza Chuo Nov 2019 nikiwa na 1M na PC ya 600k, nilifanya uwekezaji nikiwatumia watu wangu wa Karibu nikapigwa 200k, yaani nilijuta sana 200k imepotea kwa siku chache, nilijiingiza kwenye Biashara ya kukopesha nilipoteza 470k, Daaa, sitakagi kukumbuka sabbu nauemiaga sana,
Kwasasa naogopa hata kufanya Biashara, Nina zaidi ya Laki saba benki Lakini siwazi kufanya lolote,. Lakini Hebu Mambo yawe Mambo tuone
[/QUOTkama huna aibu kua shoe shine posta modify goli kua smart piga pesa