Recent content by bikira mzee

  1. B

    Je mipaka gani inatakiwa iwepo kati ya wanandoa au wenzi?

    hakuna mpaka katikat yenu the marriage bed is unfold.
  2. B

    Michepuko inaanza leo rasmi!

    demba muache achepuke tu kana kwamba misina nyongo.wala usimtafute kaa kimya kurudisha hadhi yako
  3. B

    Ni sawa kwa mwanaume kufoka wakati wa tendo la ndoa?

    tatiana acha utata we mwana we
  4. B

    Ni sawa kwa mwanaume kufoka wakati wa tendo la ndoa?

    sooo swit sex is an art ,kila mtu na starehe yake nipouwa sana hasa mwanaume akiwa na sauti nzito
  5. B

    Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

    ndugu mihuwa sijaelewa huwa anachunga nini.infact ata mi sijaelewa kwakawaida mwanaume ndie huandaa faragha sasa sielew hapa
  6. B

    Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

    ndugu mihuwa sijaelewa huwa anachunga nini.infact ata mi sijaelewa kwakawaida mwanaume ndie huandaa faragha sasa sielew hapa
  7. B

    Kauli mbaya uliyowahi kujibiwa na mpenzi wako wakati unamtongoza

    ushauri jamani,mimi nina wadogo zangu watano ambao niliachiwa na wazazi nikiwa form four wa mwisho alikua darasa la pili wazazi wakitutoka wanne ni wavlana na mmoja tu ndo msichana kwa sasa ni mwanamke.nililazimika kukataa mahusiano kuhofia kushndwa kulea wadogo zangu vizur nikajikuta na miaka32...
  8. B

    House girl na akina baba part 2

    kutembea na hg nikutembea nje kama sehemu nyingine futa usemi wako hapo juu.kuzin ni dhambi haijalishi umefanya nanani
  9. B

    Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

    pia huyu mume wa flora kajiendekeza unabaka mara tatu?hapa kunakitu hakikowazi.flora kumnyima unyumba ni sawa kama yuko rafu?au michepuko?kwanini nife?
  10. B

    Wadada tufunguke!

    mengine yanayohtaji kubadilika unasema tu mengine unamezea kusemasema sio poa sometimes
  11. B

    Mume wangu kwa wiki mara moja tu, ndoa ina miezi miwili

    mlishe vizur vitu vya mafuta karanga na pia nazi kwenye chakula kama uwezo upo mpe sapriz za nyama choma.mpe mayai na samaki .pia weww mwenyewe uvutie.alafu sio lazima ufanywe usiku mzima ndo ufike jitahid kurejesha akili yako kitandani unapofanya.
  12. B

    Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?

    kwanini uwe mkali ukiulizwa?kama anataka DNA afanye tu .ukiona mwanamke anakua mkali kakuibia
  13. B

    Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

    miaka mitano mpenz tu usipoze mda anatakiwa muoaji hapo
  14. B

    Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

    nimewasikia wanaume wengi wakitetea hoja ya kumlala house gal pindi mke anapokua na madhaifu.je nisawa mke kifanya vivyohivyo mume anapokua na madhaifu? wanaume wamekua wabinafs hasemi idhaifu wako wala kukusaidia kujirekebisha wake hauonekani kwani unamhudumia tena unafundishwa uvumilivu ila...
  15. B

    House girls na akina baba

    ndeke usiseme hgs niwatamu kuliko nyinyi sema ni mtamu kuliko mkeo.wengine tupo na utamu wetu na niwake za watu wanaojiheshim.tena kusubir hgs aje ndo utake kulala nae niuoga unasubir uletewe? kama wewe rijali mbona hujamfata wa nje?ni ushenzi kazi za ndani husaidii halafu ndo wakwanza...
Back
Top Bottom