Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?

Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?

Naona mpambano wa moto moto hapa,siku zote anayejijua ana makosa huwa anatafuta sababu za kuuficha uovu wake,mambo ya kusema unanitukana,mara umenichoka,au naoenda kwetu ni uoga tu baada ya kuja mambo yamekuwa si mambo,kama unajiamini kwamba haujawah kutoka na mwingine kwanini uogope kupima?[/QUOTE
Tutaenda kupima Daudi1,ila majibu yatakayothibitisha kuwa ni mwanao ndio itakuwa talaka yangu.
Ni sawa na bint amwambie boyfriend wake nime conceive,kisha kijana aulize "una uhakika ni yangu?"
Inakeraje??
 
Last edited by a moderator:

Ujue mpaka ameamua mkapime ujue kuna viashiria vinaonyesha kuna udanganyifu upo,ukisoma maada utagundua kuna ualakini sasa unataka nani aondoe hiyo hali kama siyo vipimo? na je ikithibitika kweli mtoto si wake utaomba uendelee kukaa? maana umesema ikithibitika mtoto ni wake ndo talaka yake ikiwa kinyume itakuwaje?
 
[/B]

Mie naona hekima na busara vingeanzia kwa mume,ajiulize mkewe atakavyojisikia kama si kweli kuwa alichepuka.
Kama una sababu ya kutomuamini,tafuta ushahidi hata mdogo tu kuwa mke si muaminifu then komalia kipimo.
USINIAMINI WAKATI WOTE,ILA USINITUHUMU KAMA HUNA USHAHIDI.
Ni bora niende ndio ili nipate amani ya nafsi,mtu asiyeweza kufanya hata uchunguzi mdogo tu anaendeshwa na hisia na kukurupuka kama chafya hata katika vitu vinavyohitaji umakini mie wa nini?

^^
Kumbuka Ennie njia ya kuondoa mashaka ni DNA, consequences zipo, za kisaikolojia, kimawasiliano na za kiupendo..
Yote hayo yataisha pale nitakapothibitisha, kuwa si kweli, tena utashangaa upendo utakua, maana nina imani nawe. Lakini unapoanza kuruka ruka, unabadili sentensi, hizo ni dalili dhambi inakutafuna.
JAMBO MOJA NINA HAKIKA NALO wanawake mna akili, hayo majibu ya 'ina maana huniamini, mi naenda kwetu n.k '
unayatoa mbele ya mwanaume unaejua wazi ni wa SAWA TU MKE WANGU hana kauli masikini.
^^
 
Our or my?

^^
Yes OUR not MY neither YOUR.. Kama ulichepuka lazima mimi mwanaume nimechangia sehemu fulani ya uamuzi wake! Sasa validity ya uamuzi wako huo utafuata baadae. Ila kwa sasa ni OUR

Kitendo cha kuwa "sawa tu mke wangu" kina kunyima hadhi ya kuwa mume wangu,napenda challenges.
Ila mwanaume hanidhalilishi nami nikae nakenua meno tu!!!
Never!!!
 
^^
Yes OUR not MY neither YOUR.. Kama ulichepuka lazima mimi mwanaume nimechangia sehemu fulani ya uamuzi wake! Sasa validity ya uamuzi wako huo utafuata baadae. Ila kwa sasa ni OUR
^^
Tutakesha hapa,usiku mwema Himidini.
Thanks for challenges anyway!!!
 
Last edited by a moderator:
Tafiti nyingi zimefanyika zinaonyesha kuwa 98% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao. Hata aliyeleta thread hii alilelewa na baba "fake"
 
Kitendo cha kuwa "sawa tu mke wangu" kina kunyima hadhi ya kuwa mume wangu,napenda challenges.
Ila mwanaume hanidhalilishi nami nikae nakenua meno tu!!!
Never!!!

^^
Kutoka nje ya ndoa ni zaidi ya kutoridhishwa, Na haya ndiyo majibu ulokuwa umebeba wakati unasita kupima. Kwangu hakuna cha kupima kwa siri wala nini, nyumba yangu nianze kuhofu tena?
By the way
Good night Ennie I appreciate your reasoning
^^
 
Last edited by a moderator:
Ujue mpaka ameamua mkapime ujue kuna viashiria vinaonyesha kuna udanganyifu upo,ukisoma maada utagundua kuna ualakini sasa unataka nani aondoe hiyo hali kama siyo vipimo? na je ikithibitika kweli mtoto si wake utaomba uendelee kukaa? maana umesema ikithibitika mtoto ni wake ndo talaka yake ikiwa kinyume itakuwaje?

Hawezi kuwa si wake as sijachepuka,I said this before kuwa aliyechepuka hangoji kuwa surprised na vipimo. Atajua tangu mimba ataanza kuhesabu trh alizochepukia na mimba ilipoingia,atamkagua mtoto na kumchunguza kimya kimya na akigundua ni product ya mchepuko ataandaa plan B mapema in case mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Ukianza story za kupima yeye anainua tu mabegi as alishaya pack mapemaaaa!!!!
 
Endapo nina shaka yoyote juu ya jambo fulani baina yetu basi ni jukumu la mke wangu kuniondolea hofu hiyo. Nafahamu matatizo yatakayo ibuka endapo ikigundulika kuwa ni kweli mtoto wangu ila ni vipi endapo itabainika si mtoto wangu?

Ndio itabidi umjulishe mwenza wako kwamba nina hofu ya kwamba huyu mtoto si wangu kutokana na viashiria hivi hivi na u better be sure 99.9% alichepuka au utakuwa umelivuruga hasaaaa wallahi!
 
DNA ya nini wakati anafanana na mtu ambaye hamna hata undugu na huyo mkeo? Kwanini mke akae na guilty mind siku zote? Si aseme tu kuwa alifanya mapenzi na jamaa mimba ikatungwa. Aombe msamaha maisha yaende.

Kama hata kuadmit hilo hataki, unakaa na bomu.

Kama hataki aondoke tu sio tatizo. Maisha yataendelea.
 
kwanini uwe mkali ukiulizwa?kama anataka DNA afanye tu .ukiona mwanamke anakua mkali kakuibia
 
Mkuu well said,

Lakini katika hali ya kawaida endapo mwanamke aki-admit kweli alifanya kosa na akatembea na huyo jamaa mimba ikajibu...na wewe bila kujua..ukidhani mimba ni yako..umemhudumia mkeo hadi mtoto anafikisha miezi sita ndio unakuja kutambua ukweli baada ya sura ya mtoto kujionyesha wazi kabisa, na aliye-m-mimbisha unamjua.

Je upo tayari kumsamehe mkeo, na kulea mtoto ambaye si damu yako? Kama ameweza kukusaliti kwa kiasi hicho..je kesho hawezi kuku-ua kwa UKIMWI?

Come this way please!

Back
Top Bottom