Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Vita ni kali haswa na wanataka kufikishana pabaya
Mteja mwenye Duka la Reja reja mwanza anafunga safari anakuja Dar kwa muuzaji wa jumla ananunua tshrt 10,000 bei ya jumla anabeba hata pisi 300 alafu anaenda kuuza mwanza kwa 15000/18,000
Gafla anakuja kumuona mtandaoni aliemuuzia yupo...
Naam habari ya mjini kwa sasa mimba anapelekewa mtafutaji na mimba inaletwa ndani ya ndoa na wanaume wengi mnalea watoto sio wenu kama una uhakika mtoto unaemlea ni wako hebu sema umeuaje[emoji16]
Kwanza Mods msiunganishe uzi wangu hizi ni tuhuma zangu binafsi kwa kkaa zangu wa kiislam tukiwaambia wanawake sisi ni nuksi na mpunguze kulala na kila mwanamke anaejilengesha huwa hamjielewi ona hii
https://youtu.be/JKSEDAmmDTU?si=Tqq0l24aQEtoKd91
Kwa hapa Dar kaka zangu mnaongoza kuzaa...
Yesu mwenyewe aliikuta kodi na hakuipinga tungekuwa tunaishi pasipokuwa na mamlaka wala kodi kila mtu angeishi kibinafsi kusingekuwa na maendeleo ya pamoja ikiwemo barabara za kisasa
Dalali hana tofauti na askari polisi wote ni matapeli na hata ukiwa karibu nae au ni ndugu yako kuwa makini kukugeuka ni dk 1
Dalali unamuita kuangalia nyumba anakuuliza kodi sh ngapi nikuletee mteja we unamwanbia ni sh 300,000 kwa mwezi yeye anakuambia baba tulia hapa nakuletea mteja wa laki 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.