Acha kabisa kufananisha kanisa langu na mambo ya kijinga unajua maana ya katoliki au unasema tu katoliki maana la ulimwengu mzima lisilobakiza sasa na hiyo seseme yako ndo nini
kimombo kibovu kabisa na hakina maana huyu mwavita makamba ndo alikuwa barmaid wa lodge yao pale nanenane usambara lodge kisha ajiweka.meneja kisha mzee yusufu kamfukuza au mwingine?
mwisho mtasema kasoma seminary ya kilakala girls unapoamua kumtetea mtu bas kuwa na evidence ya kutosha sasa A level butimba ttc ndo maana nikasema nape huyu mtoto wa nnauye ni msomi wa nguvu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.