Recent content by bigvision203

  1. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

    Alafu nilikuwa nakuheshimugi ila umejiaribia sana heshima
  2. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

    Haya sasa naamini tokea 2015 ulipoandika huu Uzi leo hii kwa miaka hii michache ya bwana huyu umejiona mjinga sana ... Vyuma vilivyokaza sizani hata smart utakuwa nayo
  3. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Anaandika Waziri wa zamani na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo. Historia nzuri sana hii

    Dialo mwanangu ingekuwa vyema ukaongea na kumshauri huyo ndugu yako anatutafuta ugomvi mwenyewe kwanini anaua RAIA wasio na hatia,kwanini wanateka kwanini hapendi kukosolewa,kwanini hali ya uchumi ni mbaya hivi,kwanini watoto na wajukuu zetu wanakosa mikopo ya chuo,kwanini wanamaliza chuo...
  4. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunafaidika nini hasa kwenye haya mahusiano ya boyfriend and girlfriend?

    Hii inanikutaga sana hata mimi
  5. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Ushaanza Pumba,,,focus kwenye kilichoongelewa achana na jicho la dini
  6. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Hii hata mimi inanitokeaga
  7. bigvision203

    JamiiForums Tanzania PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

    Fireeeeerrrr
  8. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu maandamano ya #TanzaniaRevolution hayatofanikiwa

    Daaah mtetemo mtetemo , Huku ikulu mtetemo Twende Lumumba mtetemo Huku polisi mtetemo Wananchi kataa 24/4 Na Mange kataa.
  9. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuga dagaa

    Hahaaaa Mzee wale sio nyangumi kama sato wakubwa wanafugwa kwenye kaeneo kadogo why not dagaa
  10. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuga dagaa

    Dagaaa dagaaa
  11. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Jipatie Pembejeo na vifaa vya kuzalishia chakula lishe cha mifugo(hydroponic fodder)

    Sorry hiyo ni very confidential...tuwasiliane nikupe njia ya kufanya kupata
  12. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Jipatie Pembejeo na vifaa vya kuzalishia chakula lishe cha mifugo(hydroponic fodder)

    Tray tunazo tengeneza tray moja ina uwezo wa kuotesha kilo mbili za mtama au ulezi au ngano
  13. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Jipatie Pembejeo na vifaa vya kuzalishia chakula lishe cha mifugo(hydroponic fodder)

    Tray tunazo tengeneza tray moja ina uwezo wa kuotesha kilo mbili za mtama au ulezi au ngano
  14. bigvision203

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawafuti namba za simu

    Ni kwasababu wanajua ulivyo mdhaifu na anauwezo wa kukufanya urudi kwake ila tu itachukua muda kidogo.. Ndio maana anauwezo wa kukufwata kimitego japo umemuacha na ukalal naye akakutegeshea na mimba
Back
Top Bottom