Recent content by bigpack1982

  1. B

    Natafuta soko la soya

    Thanks
  2. B

    Natafuta soko la soya

    Nashukuru sana mkuu
  3. B

    Natafuta soko la soya

    nipe ushauri njia boraya kuwasiliana nawe
  4. B

    Natafuta soko la soya

    napatikana,PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi
  5. B

    Natafuta soko la soya

    Ahsante sana,ntajitahidi nami kutafuta contacts zao
  6. B

    Natafuta soko la soya

    Ahsante sana mkuu,si ni wale wa Pale Tegeta??
  7. B

    Natafuta soko la soya

    soya ikiwa imesafishwa kwa mashine,bei ya kg Tsh 2000 kwa kilo,hiyo ni pamoja na kumfikishia mnunuzi mpaka kwenye eneo lake popote ndani ya Tz.
  8. B

    Natafuta soko la soya

    kuhusu bei kwa kilo,inategemea na soko na soko,hiyo ni siri ya kibiashara ambayo siwezi I expose hapa hadharani.
  9. B

    Natafuta soko la soya

    kwa sasa niko mwanza
  10. B

    Natafuta soko la soya

    Habari wadau, Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM. Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia...
  11. B

    Lara1 nimeumizwa na mume kipenzi, sasa nakuona kama role model

    Huna Hoja...yani nimesoma na kugundua ni pumba tupu...Div V ni shida
  12. B

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    ..Umemtafuna mama mkwe??hivi unaanzaje??huyo ni mama wa mkeo kweli??kuna maswali mengi najiuliza...ila ndugu,ulichofanya si sahihi kabisa...kina elements za laana...ndo maana baadhi ya makabila yetu mila zake zinakataa hata kushikana mkono na mama mkwe(salamu) au kukaa karibu...hv mwenzangu ni...
  13. B

    Kwa nini plate number hazijirudii na zipo 3 tu?

    Umekosea mkuu kukokotoa,kwa hesabu yako,mfano namba T111 AAA isingekuwa inatumika
  14. B

    Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

    Propaganda on Air,uchochezi mtupu
Back
Top Bottom