Recent content by bigmukolo

 1. B

  Neno la Shukrani baada ya kunusurika kwenda Segerea

  Mi nilichanga sh 200. Ila pole sana mkuu
 2. B

  Naomba kujua Namna ya kuondoa kutu kwenye tenki la pikipiki

  Msaada kuhusu Kutoa kutu kwenye tenki la pikipiki je nitumie njia gani au Kuna dawa spesho .. . Msaada wandugu
 3. B

  Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

  Kutotutoa ajira kwa vijana
 4. B

  TANZIA Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

  Amedhulumu haki za watu wengi sana ndani ya utawala wake...
 5. B

  Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

  Kivipi fafanua kidogo
 6. B

  Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

  Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako...
 7. B

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Na mimi nataka kubet nipen mwaongozo
 8. B

  Je, haya ni madini gani?

  Red garnet
Top Bottom