Recent content by bigmash

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeimbiliziwa (Nimerogwa) nisitoboe

    Hii nitajaribu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kweli CRDB ni majanga

    Kwa cheque mkuu, hata hivyo nilishafanya hivyo mara nyingi huko nyuma lakini sikuwahi kuona makato kama ya wakati huu, ndio maana nikasema kuna kitu kinaendelea ndani ya bank hii hatukijui.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kweli CRDB ni majanga

    Bank gani hiyo mkuu nijulishe.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kweli CRDB ni majanga

    Jamani, kulikuwa na mada humu zikilalamikia makato yanayofanywa na CRDB bank, mpaka wengine kutishia kuhama bank hiyo na kutafuta huduma kwenye mabenki mengine. Kwa kweli leo nimepata fresh na kesho itabidi niende kwenye tawi lao nionane na manager nipate ufafanuzi juu ya hili. Nisiwachoshe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha majukumu uliyonayo kinaamua kiwango cha baraka zinazofuatana na wewe

    Naunga mkono hoja asilimia Mia moja.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

    Taarifa hi ni mara yangu ya Kwanza kuisikia, shame on you TRA.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Inapendeza.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kumezuka tabia ya mafundi magari kukata exhaust za magari ya watu bila wao kujua. Mwenye gari Tafadhari soma hii

    Mkuu Asante sana kwa taarifa yako. Hebu tusaidie wakishafanya huo upuuzi wao, gari yangu itakuwa na madhara yapi nikiendelea kuitumia? Na ni lazima nirudishie kilichoibiwa au naweza endelea kutumia Kama hakuna kilichotokea?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Sadhu Amar Bharati,mtu alienyoosha mkono wake juu bila ya kuushusha kwa miaka 47

    Na akienda msalani kujisaidiai inakuwaje, huwa anajishaje.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

    I see, yaani nimeona.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nijuze kuhusu Nissan Terrano

    Sijapata mrejesho wa kutosha wadau wangu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nijuze kuhusu Nissan Terrano

    Wadau, Vipi hii ndinga NIssan Terrano kwa wanayoifahamu performance yake barabarani, uimara wa gari yenyewe, spare zake upatikanaji wake na kadhalika, kwa wale wajuzi wa magari maana Kuna mtu anataka kuniuzia japo bado sijaamua. Hi ni ya petrol engine.
Back
Top Bottom