feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,524
- 17,182
Mimi pesa zangu nahifadhi Airtel money na tigo pesa na nyingine room..CRDB akaunti nilitoa pesa yote japo haikua sababu ya makato maana sifuatilii
Mkuu mimi niliweka laki saba tu ikapita mwezi nikasema ngoja niongeze laki nilivyofika kucheki balance nikakuta wamekata 16000 ikabidi niwatumie sms kwenye kila mtandao waliopo wakanijibu wamekata makato ya account kwa mwaka...