Recent content by bigi 8

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake safarini hawajui kukataa

  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake safarini hawajui kukataa

    Hili suala ni kweli kabisa wakati nasafiri kutoka Dar es salaam kwenda bukoba wiki iliyopita kuna kabinti nilshangaa kanakuja kukaa na mimi huku kanachekacheka mi wala sikushoboka wala nini
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sales representatives at barclays bank

    Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kauli mbaya uliyowahi kujibiwa na mpenzi wako wakati unamtongoza

    Unakimbiza upepo wewe .Dah hilo jibu siwezi kulisahau nilivyojibiwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lecture anamtaka mpenz wangu!!

    chuo unaogopa kukitaja kwanini mi .kiatakuwa Muccobs hicho ndiyo Ue wamemaliza ijumaa sasa wasubmit research
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

    kunywa wewe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ahadi anazotoa mtu akiwa amelewa pombe

    Kwa hiyo mtu akiwa mlevi ndiyo asioe basi wewe tafuta malaika akuoe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

    dah kwa hiyo nisepe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

    Sasa nifanyaje
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

    Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye anataka nimpigie simu mimi tu .
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .
  12. B

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    breaking news hiyo redio ya kiislamu imefungiwa miezi sita na Tcra leo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

    Mkuu Exaud Mamuya ni nasikia una mpango wa kugombea ubunge vunjo.Je ni kweli ?
  14. B

    JamiiForums Tanzania baba yangu alivyomtesa mama yangu

    Pole sana mkuu mimi hilo tatizo hata lilishamkuta jirani yetu ,lakini manyanyaso yalipozidi kwa mama yake alichemsha maji ya moto akamwagia huyo baba basi huyo baba akaungua usoni na kifuani baada ya kupona hakuleta vurugu tena na hata nyumbani akakimbia anarudi mara moja moja .
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    ushauri nipe
Back
Top Bottom