Recent content by Bigfat

  1. B

    Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Si Sio kweli mfuko wa Bond fund wa UTT AMIS selling price na buying price yake zipo sawa
  2. B

    Suluhu ya kufanya Simba icheze kwa mkapa

    Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi. Hii itatupa fursa ya kucheza...
  3. B

    Unaikumbuka simu yako ya kwanza!?

    Unaikunbuka simu yako ya kwanza kabisa!? Ilikua ya aina gani?
  4. B

    KERO Responded Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    Habari Wana JF, Ivi ni kwangu tu au Maana juzi nimenunua umeme lakini nashangaa makato ni 2000 badala ya 1500 naombeni kukuuliza ili kama nimeibiwa nijue Nini cha kufanya wakuu. Ahsanteni.
  5. B

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye bidii, ina fursa kubwa ya kufanikisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ili kufikia Tanzania tunayoitaka, ni muhimu kuwa na maono ya kibunifu na...
Back
Top Bottom