Recent content by Bigeso JMR

  1. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya K’s Mbeya mna huduma mbovu

    Sio ni mambo ya kuchafuana haya kweli!??
  2. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

    ilikuwa nouma leo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kufunga mifuko ya sembe

    Mimi ninayo sh 220,000 0783566761
  4. B

    JamiiForums Tanzania BUSINESS IDEA SUPPORT - BIS in Food Production

    not targeted kama hujaelewa
  5. B

    JamiiForums Tanzania BUSINESS IDEA SUPPORT - BIS in Food Production

    BUSINESS IDEA SUPPORT - BIS in Food Production Mbeya Food inapenda kuwajulisha wajasiliamali wa jiji la mbeya au nje ya Mbeya kuwa sasa tunasaidia kuanzisha biashara yoyote ya kutengeneza aina yoyote ya chakula kwa mtaji usiozidi 500,000. We support any positive business idea on food production...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    karibu sana mkuu utapewa elimu bure kabisa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    Hakuna tofauti ya kufanyia production Dar na Mbeya maana itakulazimu kusafirisha raw materials mahindi ambapo utakuwa hujapunguza chochote, unga unasafirishwa mpaka Zambia ww unazungumzia Mbeya mpaka Dar? alafu ishu ya kujuana sio issue sana, tiyari unga upo sokoni hapo Dar mm nahitaji maajent...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    kwa Dar kuna aina nyingi za sembe maana kuna hata sembe ya sh 500 kwa kilo kwa hiyo inategemea quality na aina ya watu kwa eneo husika kwa mfano kwa Dar unaweza pata chumba cha kulala kuanzia sh 2000 hadi hata laki tano kwa siku so be careful with your research, sio kwamba ndo nataka kuanza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    lengo ni kutengeneza ajira kwa vijana ambao mnaona 450,000 ni hela kubwa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    fanya research mwenyewe hii sio siasa ni biashara sawa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    fanya research mwenyewe hii sio siasa ni biashara sawa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    be serious
  13. B

    JamiiForums Tanzania Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    Ndugu wapenzi wa JamiiForum Salaam zenu! Mimi naprocess na kupaki unga safi wa sembe na dona kutoka jijini Mbeya kwa jina la MBEYA FOOD. Unga ni Mzuri sana wadau. Kwa sasa nahitaji maajent wanaoweza kuuza huo unga jijini Dar es salaam. Nitakuletea huo unga hadi dukani / ofsini kwako ila...
Back
Top Bottom