Mwanaume ukishagongewa na ukathibithisha mke wako amegegedwa haina haja ya kumsimulia mtu ila ni kuchukua maamuzi maana ukisimulia mkewako ametom*wa halafu huchukui maamuzi yoyote ni kama umemvua nguo mkeo hadharani halafu unaendelea kuishi nae. Ukishagongewa ukajua Ni either ukae kimya au useme...
Kwenye haya maisha kila kitu ni kubeti, niambie kitu gani unakifanya ambacho haubeti?? Ukifikiria nawe pia ni mjinga! kuishi kwenyewe ni kubeti, unajua kinachokukuta dk20 zijazo?
Ulivyodouble acc ungetoa deposited amount. Tatizo mnatrade ili mfanyie show off hizo digits zinazoonekana kwenye Trading platform.
"Trade to withdraw"
Risk only 2% of your equity.
Follow the plan and plan will trade for you
We jamaa unasema unaendelea kukusanya ushahidi, hiv hujui maana ya mtu anapokwambia amevumilia mpka amechoka! Ina maana yeye ameshindwa hyo vita amekuachia wewe mumewe kwahyo na ww ukiendelea kusubiri hvyo ndo unampa jamaa ushindi na ataliwa we subiri hvyohvyo
Ishanikutaga hii changamoto kubwa ilinikuta, ndugu na wazazi wakanikatisha tamaa kabisa niliondoka home kwa hasira na msongo nikawa Nasafiri naenda nisikokujua na nilisema nitakapoishia ndio hapohapo napiga kambi, nikiwa naelekea songea tukashuka Tunduru Bus Terminal kupata chakula na kujisaidia...
Hiyo hali yako inatokana na sababu kuu mbili
1. Kufanya mapenzi mfululizo bila kuacha nafasi ya siku atleast wiki
2. Kujichua(punyeto) na kuangalia sana filamu za ngono mpaka unapata addiction.
Mimi pia nilikuwa mhanga wa hali hiyo ila nashukuru nimejitibu kisaikolojia baada ya kupewa ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.