Kwani c ametaka mwnyew watu wapredictBei gani mzehe?
Karibu JF mkuu, hapo unakumbushwa kuweka bei.Mimi nashangaa kila mtu anasema bei yake wakati mimi sijaandika bei
SANDALS KWA BEI POA YA JUMLA NA REJAREJA
+255657291795 WhatsApp nikutumie sample zaidi View attachment 2048712View attachment 2048713View attachment 2048714View attachment 2048715View attachment 2048716

Kwel nimeelewa tatizo liko wapi nashukuru wakuu!!!
Miaka kama mitano nyuma nikiwa chuo, kuna jamaa alikua anajina kama lako facebook alikua anaweka comedy, nilikua nasoma sanaa..
MKUU,
KWA HIYO BEI YA MILIONI SITA HATA MOTHER_HANGAYA HAWEZI KUNUNUA.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hahahaaha jamaa wa JF wamenichanganya sana kila mtu anakuja na bei yake ila next time nitajirekebishaJiefu ukija na hasira utakomanishacheka sina mbavu watu wako busy na bei mleta mada anashangaa zimetoka wapi
Mimi nilikuwa basubiri comment inayosema hivi.
" watu wa arusha mnaonaga kila mkoa una wazungu wa kuwauzia viatu sh 300,000"
Wewe kwa akili yako inavyoonekana hutakuja kubadilika.Licha ya kusumbuliwa kuulizwa na kutakiwa utaje bei,mpaka sasa unakuja na comment za kuchat tu,BEI BADO HUTAKI KUWEKA,na inavyoonekana utakuja kujibu comment yangu ila bei hutoweka pia.Hahahaaha jamaa wa JF wamenichanganya sana kila mtu anakuja na bei yake ila next time nitajirekebisha
Mpaka hapo unadhani anauza? Ameposti kujifurahisha tuWewe kwa akili yako inavyoonekana hutakuja kubadilika.Licha ya kusumbuliwa kuulizwa na kutakiwa utaje bei,mpaka sasa unakuja na comment za kuchat tu,BEI BADO HUTAKI KUWEKA,na inavyoonekana utakuja kujibu comment yangu ila bei hutoweka pia.
Labda alikua anatania maana haiwezekani muda wote anapigiwa kelele bei haweki, hayuko serious kabisa.Wewe kwa akili yako inavyoonekana hutakuja kubadilika.Licha ya kusumbuliwa kuulizwa na kutakiwa utaje bei,mpaka sasa unakuja na comment za kuchat tu,BEI BADO HUTAKI KUWEKA,na inavyoonekana utakuja kujibu comment yangu ila bei hutoweka pia.
Kwa kweli huyu anajifurahisha tu.Mpaka hapo unadhani anauza? Ameposti kujifurahisha tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndo ulijue kosa lakoMimi nashangaa kila mtu anasema bei yake wakati mimi sijaandika bei