Recent content by Bigdada

  1. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima heshima irudi

    we kinakuuma nini fanya na wewe ukiweza
  2. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima heshima irudi

    Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi. Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia...
  3. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Hamna mtihani mgumu kwa mwanamke kama kuwa na jamaa anayejua kugegeda lakini hana hela

    aso hili ana lile mungu hawezi kumnyima vyote mtu
  4. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na mwanaume kapuku, mnuka vumbi

    umenena mwenye masikio na asikie
  5. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume?

    wala siwataki kina sweet Mangi
  6. Bigdada

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa jambazi kwa muda mrefu, nahitaji kuokoka sasa

    Ngoja ni ku P.M unipe mbinu maisha magumu nataka kuianza hiyo kazi
  7. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume?

    Hakumbatii mtu mito hapa hivi yule baba yako alishalipwa mafao yake
  8. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume?

    thanks
  9. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume?

    Hivi wanawake wenzangu, huwa mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume? Kwani hata sijui nitumie maneno gani ili niweze kupata pesa kutoka kwao. Wengine wanajikausha tu hadi mtu unaaga kuwa unataka kuondoka wao wamekauka tu. Hapa simaanishi kuwa ni mtu ninayejiuza, sitaki kutukanwa.
  10. Bigdada

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

    haina ukweli wowote mi nina miguu ya bia ila napenda tu kuvaa suruali kwani nakua huru zaidi utafiti wako feki huo
  11. Bigdada

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    nami niliwahi enda kwa mmoja wapo kati ya hao uliowataja pale kuna upako wa kuanzia elfu 50 hadi wa elfu 5 anasema kabisa anayetoa nyingi anapata upako mwingi hana hata aibu siu za mwisho zimekribia
  12. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shituka: Hizi ndio mbinu za wanawake wa kuwapata mitandaoni

    Wajinga ndo waliwao mtu hata kukuona hajawahi anaanza kushoboka kutuma hela acha tu mliwe
  13. Bigdada

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

    wenzao wa vijijini wanatumia grisi tena ni nzuri kuliko hata hiyo ky
  14. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya mpenzi wako inayokuvutia zaidi?

    mi navutiwa na kichwa chake kikubwa kwani huwa nakufananisha na jiwe walilolikataa waashi
  15. Bigdada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    hahahahahahah watu mna maneno nyie
Back
Top Bottom