Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

estlyjonathan

Member
May 26, 2016
84
122
Nimekuja na mrejesho, kumbe nimekuja kuambiwa kuwa huyu kaka nae anapenda kuniongelea na kuniulizia na hapo kitaa lazima nikipita nimuone tunaangaliana kama kawaida then kila mtu anapita njia yake.

Sasa jana wakati niko around nilimuona na rafiki yake wa kiume wanapiga stori mara ghafla wakaniangalia na rafiki yake ikabidi anigeukie na kuniangalia nahisi watakuwa wananiongelea baada tu ya kuniona.

Katika uchunguzi wangu kazi yake anayofanya ni 'hotel management' na pia baada ya kugundua moyo wangu bado una muhitaji awe wangu wa milele ila nimekuja kugundua kumbe na yeye ananipenda ila anashindwa kuniambia kutokana na binafsi niko seriously na maisha yangu na sinaga mazoea na vijana wa kitaa.

Nahitaji ushauri pia baada ya kugundua hayo hapo juu, jina lake ndo bado sijalijua.
 
Kama hataki nipe miee!
 
Unaishi AR, una mtoto 1........
 
Back
Top Bottom