Inasikitisha sana Simba akigongwa na gari unailipa serikali usd 15,000, sasa simba kala mtu serikali inafanyaje hapo? Simba na Binadamu kipi muhimu kwa serikali.
Dawasa Pwani acheni ubabaishaji, mnatuumiza na bill hewa tunalipia upepo maji hayatoki mita zinazunguka upepo ukipita, mnatulipisha bili kubwa tofauti na matumizi yetu ya maji, mfano unakuta kwa mwezi unaambiwa umetumia unit 75 za maji na maji hayajatoka wk takriban 2 au 3, ukienda kutoa hiyo...
Walipofikia CCM lazima wajikubali ukisha zeeka huwezi rudi ujana,hata hao vijana walio nao wana adapt mawazo ya wazee wao ili kuganga njaa siku ziende.
Washindi wengi ni mbagala, temeke, tandika, masaki, oysterbay, upanga sijawahi kusikia wala mhindi kashinda na wakati wao wanapenda kuchrza kamari ya Madau makubwa.
Washindi wengi ni mbagala, temeke, tandika, masaki, oysterbay, upanga sijawahi kusikia wala mhindi kashinda na wakati wao wanapenda kuchrza kamari ya Madau makubwa.
Nakumbuka 2015 during kampeni EL aliulizwa na wananchi kuhusu babu seya na mwanae pamoja na Daudi Balali.
Jibu nakumbuka lilikuwa "mkinichagua kuwa rais nitamtoa babu seya na pia nitamleta Saudi balali" watu walishangilia sana, sasa nasubiri huyo wa mwisho dalali.
Hapana, hakuna kazi ya kike katika mambo ya ulinzi na usalama coz wote tunao wanawake katika kazi hii. Naomba nikutoe hofu katika maamuzi yako ya kufanya kile ukipendacho katika maisha yako, amua na ufanye nini na usimsikilize MTU kama unachokifanya kina manufaa kwako ilimradi kisilete madhara...
Hiyo tozo ipo kwenye mafuta nani anakumbuka Road Toll? hili tozo lilikuwepo miaka ya nyuma na tulikuwa tunalipia pindi unapoingia barabara za kwenye Mikoa, Wilaya n.k. Lakini waliipigia kelele sana ihamishiwe kwenye mafuta na ikaingizwa, ninadhani ipo mpaka leo tunaendelea kutozwa ila hatujui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.