Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Nimeshangazwa kumuona Mwenyekiti wa Taifa TLP Lyatonga ndani ya Mkutano wa CCM huko Dodoma.

Nimepigwa butwaa zaidi pale nilipomuona akiwa sehemu ya wana CCM wanaoiwakilisha Kilimanjaro.
34cc69c7cf8b658871758baeef58377e.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom