Polisi wana kazi kubwa sana ndani ya nchi, kuhakjkisha amani ya ndani ya nchi inadumishwa, hata uhuru ulio nao ukashika simu yako na kuandika huu uzi na hakuna aliyekuja kukupora ni kazi yao, na jeshi la wananchi lina majukumu yake makubwa,kuzuia maadui wavamizi,waasi n.k Jwtz kuchukua kazi ya...
Sio vibaya mkuu ungefafanua kama alituhumiwa kufanya nini ili hata mtu avute hisia kama alistahili au alionewa. Kuna baadhi ya matukio, mtu anatuhumiwa na watu tofautitofauti na taarifa za huyo mtu unakutwa zimeripotiwa zaidi ya mara 7 police.Kama ni wa namna hiyo ni halali yake wala usilalamike.
Hapo naona ndio tatizo linakwamisha kutatua huu mzozo. Hadi leo jumuiya ya kimataifa hawataki kuitambua hamasi Kama mtawala, Ila wamemtambua Abas kama Rais wa palestina. Abas hana mamlaka huko Gaza. Hii ni changamoto. Lakini naona Misri anaheshimiana na pande zote, anaweza shika usukani wa...
Wanakutanishwa viongozi hata kama wapiganaji wao wanaendelea kupingana.Hayo yalishafanyika nyuma kidogo tena nakumbuka ni Misti iliwakutanisha, baada ya mazungumzo wakasitisha vita.UN ni zaidi ya Misti.
Chanzo cha sasa hivi ni maroketi ya hamas.Pamoja na kuzoea kurusha mara kwa mara,haya ya wakati huu yameleta madhara makubwa tofauti na yaliyozoeleka. Majengo yaliwaka moto na raia kufa. Kwa hali kama hiyo hata kama waziri mkuu angekuwa mwingine lazima angechkua hatua kali.Sidhanii Kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.