Kiongozi wa Kikundi cha Ugaidi cha Islamic Jihad auawa na Israel

Magaidi yote haya yatauawa tu, God is good all the time
IMG_20210514_052711.jpg
 
Palestina wamekutana na vichaa wenzao. Watapigwa kama mbwa koko
Ni kwa sababu ni dhaifu, siyo nchi useme anapigana na nchi kama mfano mdogo tu kama South Africa! Kwa hao Wapalestina kufananisha na Israel ambayo Bajeti yake ya Kijeshi na Msaada wa US kwa Israel ni mkubwa kuliko hata uchumi wa Nchi nzima(soma utawala) wa Palestine
 
Hawa wapiganaji wa Palestina waweke silaha chini maana wanawake wazee na watoto wadogo ndio wanaoathirika zaidi katika hayo mapigano yasiyokwisha, Israel na Jumuia ya Kimataifa wana jukumu la kuhakikisha Amani inarejea tena Mashariki ya kati, Vile vile wanamgambo wa Hezbollah na rafikize Hamasi wajongee meza ya mazungumzo wafanye maridhiano pande zote, Wakaubali kwamba hawawezi kuishinda Israel wakiwa vikundi vikundi la sivyo Umma wote wa Palestina watapa taabu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hii vita ya Israel na wapalestina ni ngumu sana kuitolea maamuzi, kwa maana inagusa imani, kama kuanza ilianza tangu enzi za mitume na adi leo bado inasumbua, Waisrael wanadai Mwenyezi Mungu aliwaambia wakiue kizazi chote cha wapalestina na waarab walio wakuta ndani ya ‘nchi ya ahadi/ Israel’ lakini huruma yao ya kuto wamaliza ndiyo inayo wapinza adi leo........
Asante. Nilitaka niongezee kitu hapo ila wacha ninyamaze
Lakini ukitaka kuelewa haya mambo vizuri
Soma kitabu cha KUTOKA kwenye Bibilia yako
 
Hawa wapiganaji wa Palestina waweke silaha chini maana wanawake wazee na watoto wadogo ndio wanaoathirika zaidi katika hayo mapigano yasiyokwisha, Israel na Jumuia ya Kimataifa wana jukumu la kuhakikisha Amani inarejea tena Mashariki ya kati, Vile vile wanamgambo wa Hezbollah na rafikize Hamasi wajongee meza ya mazungumzo wafanye maridhiano pande zote, Wakaubali kwamba hawawezi kuishinda Israel wakiwa vikundi vikundi la sivyo Umma wote wa Palestina watapa taabu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Hebu angalia hiyo Israel ni kama Amerika upande wa kujenga majumba yao, ni lazma ukijenga jumba, liwe na handaki la kisasa, lenye uwezo wa kukuhifadhi wakati wa vita na ndani full stock kama MRE zile za kijeshi (packed/canned foods). Upande wa pili, wa Palestina sidhani ka system hiyo ya ujenzi upo, ndo maana maafa yako mengi kushinda Israel. Na Hamas wanajificha kati kati ya raia, na raia hawapigi kitu. Sasa kitu cha rocket kikitumwa, Hamas hao, kwenye mashimo yao, raia mnaachwa open mliwe vitu vya angani.
NB;Waache vita, especially kule ambako wamezidiwa sana. Hata kama hawatakubali kushindwa ila itazuia maafa zaidi.
 
Ngozi nyeusi mna shida sana, wakati Kinjekitile na Mkwawa walipokuwa wanapigana na wazungu kulinda ardhi yao tunaona ni tendo la kishujaa lakini kwa wapalestina unaona ni sawa tu kufa sababu bila shaka kwenye akili yako Israel taifa la Mungu.

Unategemea mtu dhaifu anaepigana kulinda maslahi yake awe na silaha sawa na mtu anaemkandamiza? Ni mapambano gani duniani ya ukombozi uliona anaeonewa ana silaha za kisasa.

Hamas na wapalestina ni wapigania uhuru wa eneo lao la asili kama walivyokuwa mababu zenu kipindi cha ukoloni.

Kuwapa eneo wazungu waliotoka Ulaya na kuhalalisha kuwa wana asili ya pale huku wakazi asili wakikosa hadhi ya kuwa nchi na kuishia kuonewa kwa ubaguzi wa rangi ni kosa la jinai.
Waisrael walikua watu wa kuvamia maeneo kuua wote walio katika eneo hilo na kulikalia toka kitambo walipopewa kaanani..wakaenda utumwani misri na hata walipo rudi..maandiko yanasema hivyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawajawakutanisha kwenye kikao.
Watakutanishwa vipi wakati wanaendelea kurushiana vifaa?
Pili,kuna mkubwa wa UN jana alisema hivyo vita visitishwe kwa pande zote mbili as soon as possible, Nani amemsikiliza na bado vitu vinatumwa hewani tu!?
 
Back
Top Bottom