Duh wadada wa kazi siku hizi wamekuwa na shida sana na matukio ya ajabu ajabu. Ila wazazi piah tuweni makini sana kwenye suala zima la malezi una muachiaje kabsa yani mdada ambaye hata humjui mumejuana tu ndani ya siku chache hivyo amlelee mwanao kiholela holela tu . Unakuta mara nyingi wana...
Hii ni changamoto inayotusumbuwa kwa kiwango kikubwa sana, ukiwa una fanya miamala miamala ya simu mara kwa mara , au ukiwa unatunza pesa zako kwenye simu kwa hizi pesa pesa.
Ukiachana na hizi messages wanazotutumia kuna mda wanafanya hadi direct transfers kutoka line yako kwenda kwenye Bank...
Wazazi tuache kuharibu ndoa za wenetu.
Mtoa mada uzi ni mzuri ila umeubana sana, yaani unahitajika uchambuliwe zaidi ya hapo .
Kwenye suala zima la wazazi kuharibu ndoa watoto wao ni kubwa na lipo katika apects tofauti tofauti , ikiwemo maslahi binafsi ya mzazi au wazazi kwa vijana wao ambao...
Hayo ndio maisha ndugu hakuna mkamilifu kama uwezo wa kumsaidia kila akiomba unao we toa tu .
Akuna mtu anapenda kuomba omba , alie kupa wewe ndiye huyo huyo aliye mnyima mwenzio.
Kwaiyo ni kuvumiliana tu na kuoneana huruma madhali unacho basi we toa tu.
Kwenye suala kama hiliinategemea na familia.
Kama wewe familia ilikuchangia kukusomesha mpaka unapata kazi , hivyo nawe lazma tu utajikuta upo kwenye hako kamfumo na kwa sababu ulisaidiwa nawe saidia kama uwezo unao.
Ila kuna familia nyingine kila mtu na kafamilia kake (nucleur family base)...
Si kweli kabsa kuwa
Elimu ya sasa hivi haisaidii mtu kuweza kujiajiri wala haitoi wahitimu wenye sifa stahiki,
Kwa sababu inategemea unasomea kitu gani. Sio lazima kila unachokisomea unaweza kujiajiri kupitia hicho ulichosomea , ila tunategemea kutoka kwa huyo graduant kuwa na ufahamu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.