Recent content by Big jay

  1. Big jay

    MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

    Huyu ndio mwanaume isitoshe amepata na kitoto kizuri pembeni anatuliza moyo.. dada maisha ni timing hapo ameku win before navyovuta Picha ya Bigman najiona mimi hapo ni kurudiana na ndugu na isitoshe ningekua mm hizo Nyumba alizoandika jina lako ningechukulia na Mkopo..! Tena wanaume...
  2. Big jay

    Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

    Pole sana homeboy Kule ziwani ni chuo cha Maisha ya wanaume ni kama machimboni tu pole kwa mtihani huo pole pia kwa kuondokewa na mzee Wetu kayuni so kwasasa mishe wapi?
  3. Big jay

    Zanzibar | Special Thread

    Tujiunge kama itakupendeza mwenyewe nna hesabu ya kukaa juma moja tu ktkt ya December
  4. Big jay

    Ushauri wenu jf nataka kununua Toyota Celica

    Sio biashara mkuu nataka nichukue mimi
  5. Big jay

    Ushauri wenu jf nataka kununua Toyota Celica

    Wadau poleni na hongereni Kwa pilika za maisha ya hapa duniani ,. Nimekuja kwenu Kwa mara ya Kwanza niombe ushauri na mawaO yenu wwnye uzoefu wa magari Nimeetokea kuipenda Sana Toyota Kwa kuanza kumiliki kama gari yangu ya Kwanza Sasa target yangu ilikua kupata alteza lakini hapa nimekumbana na...
  6. Big jay

    Ukiweka milioni 200 kwenye fixed deposit unapata mrejesho wa 1.5m kwa mwezi

    Mkuu ufafanuzi kdg sie std7 tunachelewa kujua mengi nilitaka uniambie hiyo treasures ya b.o.t unifafanulie pia na nikitaka kuwekeza njia sake na taratibu zinakaaje? Nawasilisha
  7. Big jay

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Mkuu naomba uni pm tubadilishane mawasiliano ili nipate kuchimba zaidi hii nondo
  8. Big jay

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Mkuu uliweza fanikisha mchakato wa hii biashara...!? Me nipo mbeya nilitaka tubadirishane uzoefu kama ilifanikiwa kuingia kwa hii kazi
  9. Big jay

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    Wote tunataka mabadiliko lakini sio kwa mwendo huu tujitahidi kuzuia hulka zisizo na maana tusiende hivyo tubadilike
  10. Big jay

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    Kweli siasa ni siasa aisee mimi nilikuapo Tunduma wakati Zitto akijiandaa kufanya mkutano akiwa na afande sele ilikua hivi baada ya gari ya matangazo kupita mtaani akiwamo na mwanamuziki Afande sele vijana walijiandaa kwenda mkutanoni wakiwa na mabango ya kumkejeri Zzk jumbe zilikua...
  11. Big jay

    Nimeibiwa Cards za Bank

    Feedback Wakuu nashukuru sana kwa maoni yenu na mashauri nilifika jana na nilipitia bank NBC nikawapa taarifa baada ya mda kidogo zikaletwa card zile zinazo mezwa na Atm na yangu ikitolewa maelezo kwamba alikuja mdada wa kati ya miaka 28 to 30 alikua anataka kutoa pesa kwa cachier lakini...
  12. Big jay

    Nimeibiwa Cards za Bank

    Ni kweli mkuu ila kwa card yangu ni kama nilikosea kwani sikuweza badiri mumber za siri zaidi ya ile ya mwanzo ambayo ni mwaka wa kuzaliwa mimi na kinachonipa shaka ni uwizi kufanyika baada ya mimi na wife kutokuwepo hii inanifanya nihisi ni mtu anae nijua murua kwamba mimi ni nani lakini...
  13. Big jay

    Nimeibiwa Cards za Bank

    Asante mkuu kwa mashauri kesho Mungu akijalia asubuhi nitakua hapo
Back
Top Bottom