Vibanda biashara vya kisasa 🔥
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz...
Vibanda vya biashara.
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz.
0692477610
showcase za kuhamishika..
boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako..
seble yako inakuwa 🔥🔥
boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako..
tupo dar mbagala 0692477610
Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo.
Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli.
Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao??
Turudi kwa kiwango cha chama...
Propaganda la goli la chama ni kuwapumbaza mashabiki wa kolo fc.
Viongozi wa Simba wanajua kuwa mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo tu 🤣..
Timu ndani ya miaka 4 mfululizo Haina kombe zaidi ya kikombe cha chai cha muungano 🤣🤣.
Mashabiki mnaacha kuongelea mnapataje ubingwa mwaka huu...
Tofauti ya mashabiki wa kolo na wananchi ni hii..
Makolo wamesubiri huu ushindi kwa mda mrefu sanaaaaaa ila tangu juzi washinde sijaona shabiki yoyote Wala wachambuzi wa makolo wakiwasifia viongozi wao mangungu Wala Mo..
Wao wanamaifia tu chama na mwalimu 🤣🤣🤣.
Ni tofauti ya wananchi yanga...
kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee..
maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥..
gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material...
Kwa wauza vifaa vya furniture km
Plywood 18mm...
Mikono inch 6 ya makabati....
Mikono inch 8 ya kabati....
Bawaba za kichina....
Loki za kabat...
Gundi bollbond...
Disk ya mbao inch 7
Diski ya ukuta inch 4...
Tina
Njoo tufanye biashara boss site ipo chalinze
0692477610 watsapp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.