Recent content by big banana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

    Sure. Ni kweli Uingereza ndo binadam waliostaarabika kuliko binadamu wote dunian. Nikipata muda nitaeleza kwa kirefu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madhara 6 yatatokea kama Yanga itajitoa kwenye ligi msimu uhao

    Hivi wakijitoa wanaenda wapi. Kama kuna sehemu ya kwenda si waende kuliko kutishia kuharibu ligi. Waende tu. Baada ya mwaka mmoja watarudi tu. Tena kwa aibu .
  3. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    No Reform No Election
  4. B

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reform No Election
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

    Mzee nahitaji Noah. Ile old model. Nicheck chap
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Mwenye Noa nzuri, chap anicheck kwa 0767330100. Inatakiwa haraka sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Yaan kama CHADEMA watamchagua Tundu Antipas Lisu,chances za CCM kuanguka ni wazi kabisa. Shida itakuwepo kama mzee Mbowe atapita tena. Apo itakuwa CCM imeshinda tena.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kumiliki simu ya ndoto yako kwa bei nafuu? Usiache kupitia huu uzi

    Vip, iphone 13 promax yenye storage ya 256GB mpya/ used. Nipe bei yake nione mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

    FauzaFoxy, wala sio waziri wa afya. Tatizo ni rushwa. RUSHWA. Rushwa ikisha shamiri kila sector inaathirika. Wizi unazagaa kila sector. Makampuni yanashindwa kujiendesha kwa sbb wafanya kazi wanaiibia, bidhaa shindani zinaingia nchini bila kulipa kodi kwa hiyo zinauzwa cheap, bidhaa feki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

    Hiyo kinga ya Kiroho ipoje mkuu. Ufafanuzi kidogo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

    Vip kuhusu mambo ya mapenzi, yaan limbwata. Mwanamke anakuloga mpaka hujielewi, unajikuta unatoa tu hela, unampenda lakin ukikaa ukiwaza hata wewe mwenyewe huelewi unashindwa nini kumuacha huyo mwanamke. Dawa ya hii kitu ni niji
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Dawa ya kigugumizi kwa mtoto
Back
Top Bottom