Recent content by biee

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Relax...jipe muda na amini utasahau tu. Kupelekana mahakamani sizan kama no sulihisho zaidi zaidi unaweza ongeza machungu na ukapoteza tu muda wakom. Ts truly hurt but just believe its never meant for you. Am very sory for you!
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani...

    Kwanini mapenzi yanauma...?!!I wish kupata jibu la swali hili. Kwanini ni kitu kinachoweza mnyima mtu usingizi na raha?!..why?!. Haya ni baadhi tu ya maswali najiuliza. By the way baadhi ya watu hapa wanaweza comment as if hawajawahi umia kwasababu ya mapenzi au hawezi umia...kumbe....siri...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani...

    Mmmm ..for me kwa kweli hyo yakuzoea kwangu imeshindikana
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani...

    Yaan...ina happen tu...nakaa nawaza sana kwanini mapenzi yaume hivo jaman?!..looo[emoji25]
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani...

    What if kupenda kunakuja automatically...n you can't help
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani...

    Siri ya mapenzi
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijamtongoza kanipa penzi, hali hii tutapata wanawake wa kuoa kweli?

    Sa we getho ulimuuita aje kufanya nini?!!
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

    Wanauzia kina nani!??. Just curious!
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia sana Binti/Mwanamke mzuri akiniita "Mpendwa"

    Ngoja nisubscribe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendo huu wa mawifi zangu umenifika happaaa!

    Kwahyo wifi kumbe huwa tunakukwaza!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje jamani kwa haya matokeo

    Kama unapenda coz za afya na uwezo upo better uombe vyuo vya afya uanzie hapo!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nywele (CURL)

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124]
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nywele (CURL)

    Habari zenu wa ndugu, hasa wadau wa urembo hususani wa nywele. Wapendwa kuna dawa nimeisikia inaitwa LASER CURL (kama sijakosea), ambayo ni kwa ajili ya nywele natural ndefu kiasi na inafanya nywele zijisokote siku zote.(permanent curl) Nimekua interested kutokana na hayo maelezo ila bado sina...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Instagram....mwenyewe nimeshtuka..ikabd nipruv kama in JF kweli
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Pure Red....elfu 16 tu ...sehemu zingine 20 elfu...ila ts btn 15 -20 elfu..I like it saaana ila huku nilipo now siipati[emoji25]
Back
Top Bottom