Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini Wakuu,
Nachukia sana hii tabia, yaani unakutana na binti mzuri kweli kila eneo na zaidi unakuta yupo single hajaolewa. Basi ukianza mazoea naye anawasiliana nawewe ila anakufanya kama mpendwa mpendwa hivi.
Halafu kumtransform from upendwa tu mpenzi inatake kamuda kidogo.
Kwa uzoefu wangu binti akishakuita mpendwa atakuwa anakuambia tu mambo ya kanisani na kipendwa kipendwa hivi, kwanini binti mrembo usiniite "Mpenzi" ?
Mnaninyima nini na huo upendwa?
ACHENI HIZO MAMBO WAREMBO.