Recent content by bidodo

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

    Duu watu wa pande hizo wahuni kweli wanajulikana watu wa kusini.ila zanz bwana mkubwa hamna upuuzi uyo kufunuana bila ya ndoa.zanzibar ni njema
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania strong desire to have sex andi'm a virgin. what do i do?

    you need to focus in your study and work part-time if possible
  3. B

    JamiiForums Tanzania Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

    haaaa weeee umeskia kila anoishi ulaya ndo anabeba box, wengine wamesoma
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwapa la mpenziwe linamkera msaidieni

    Lol mwenzio atavimba kwapa usimshauri vibaya. Baking powder iinaumuwa vyakula. Kuna mtu aliambiwa atie baking powder kwenye meno yawe meupe aliumbuka alitoka magozi nyama zikamtoka
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Usijali mwaya we omba visa tu uko bongo tuje kupeyana company tujipange kwetu maana huku tumekuja kutafuta dola
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Ok asante kwa ushauri mzuri
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Yah ipo
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Umeona ehh habibti hapo ndo ninapokupendea :)
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Ok farkhina thanks kwa ushauri mie huwa nawapotezea tu
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Kuna watu jamani wamezidi.Especially hizi nchi za nje tunazoishi. Utakuta mtu anamsema mwenziwe kisa anafanya kazi ya vizee.kwani si anafanya yeye, wewe imekuhusu nini. Ati mie hata nipewe bure kazi ile siifanyi. Ukitizama kazi yake kuzaa na kupikia bwana. Simu nyingi kusemana tunatakiwa...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamwachaje Huyu binti?

    Kwani ushamtoa bikira?
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    mimi49 umeona ehhh mii naona makubaliano tu mkishakubaliana hamna tatizo ndoa stara na dada zetu wanaharibikiwa baadae kuzaa nje.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    Mentor mwanamke ataka mume ila wazee wamegoma mpaka amalize chuo wakati umri unaenda nae atamani ndoa hataki kuwa na mahusiano nje bila ndoa
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    asigwa sasa wewe unashauri vipi? Au bora mtoto asieke mawazo ya ndoa mpaka amalize chuo
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    Ok iyo kweli farkhina ila kuna rafki yangu kaolewa na bado anasoma chuo au mpaka uzeeke mtoto wa kike
Back
Top Bottom