Ushauri wenu wazeeplease na vijana kwa ujumla
Eti kwa nini wazee wengi wa miaka ya sasa inapotokea rizki kwa binti yaokuposwa wanakataa. Ukitizama binti ashafikia age ya kuolewa. Sababu kubwa inatolewa anasoma. Kwani hawezikusoma akiwa kwa mumewe mtu age inafikia au kukaribia 27. Hivi ndo manawasichana wanaharibikiwa na kuwa na sifa mbaya kwa sababu hawawezi kucontrolhisia zao. Hivi sizani kama kuna dini inaamrisha mtoto wa kike kucheleweshwakuolewa age ikifikia. Hii si busara au mnaonaje wadau. Kwani mtu hawezikuendelea kusoma akiwa na mumewe. Kuna hasara gani kubwa na faida gani.
Michango yenu please