Recent content by Biblia

  1. B

    Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

    hakuna cha mwanasheria hapo wala nini wote ni masela tuu na ma bwashe
  2. B

    Mtego mkubwa CHADEMA, wameatamia bomu, kulipuka 2020

    Huo ni ukweli na wanatakiwa wajitaidi kufanya maendeleo ili wafeze kupata Refference, Lakini msemo wa mwalimu julia nanukuu ''Maendeleo yasipoonekana ndani ya chama Tawala yataonekana nje ya chama Tawala''
  3. B

    Wenzangu wa JamiiForum Ushauri

    hivi kwanini unakuta mtu anasoma yuko darasani mwalimu anafundisha, wewe kama wewe unakuta ni mmoja wapo, ila Mawazo yako hayako pale na wala umsikilizi yaani mawazo yamehama yako nje ya darasa, na unajikuta unawaza mawzo ambayo dah [either unawaza mapenzi,au kuna kitu vingine unawaza...
  4. B

    Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    ni kweli kabisa maaan nashanga kuna na sheria eti mtu akisha maliza kupiga kura akae mita 200 na wakati ni mita mia sheri gani hiyo na ninani ameiweka huko , lengo la CCM kung'ang'ania kutaka madaraka ni kuhuhusiana na katiba iliyopendekezwa itawasaidia kuficha maovu yao waliyo yatenda yeye na...
  5. B

    Kama una moyo mwepesi usisome story hii, wengi wamelia sana !!

    “Nilipofika nyumbani usikuule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshikamkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kulachakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyeshaanaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza kufumbua kinywa...
Back
Top Bottom