Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

Mtatiro mbn kakubali kirahisi vile wakat ni kwel yule mama alijitoa kwel !

kama alijitoa Ile Picha na Zile Kura 48000 alipigiwa nani? Mtatiro ni mwanasheria Anajua Wapi Walipokosea
 
According to NEC KURA 48000 NI KURA ZILIZOHARIBIKA SINCE MGOMBEA WA CHADEMA ALIJITOAA KWA HIYO HATA ANGESHINDA MTATIRO CCM WANGEMUWEKEA PINGAMIZ MTATIRO KWA KIGEZO CHA UCHAGUZI ULIKUWA NA DOSARI HIVYO MAHAMAKANI NA NEC WANGEPINDUA NA KURUDIA.

SASA BAHATI NZULI AMESHINDA MGOMBEA WA CCM NA CHAMA CHOCHOTE WANA HAKI YA KUPINDUA MATOKEO KUTOKANA NA DOSARI ZILIZOJITOKEZA TANGU MWANZO NA KABLA YA MSHINDI KUTANGAZWA NA PIA MTANGAZAJI ALISEMA KAMA KUNA MGOMBEA HAKURIDHISHWA NA MATOKEO RUKSA KWENDA MAHAKAMANI KUPINGA MATOKEO.

SASA KWANINI WANA CCM JIMBO LA SEGEREA MKAKUBALI UCHAGUZI URUDIWEE ILI KUTENGENEZA DEMOCRASIA SEGEREA NA MIMI NATUMAI KAMA MMEANDIKIWA KUSHINDA MTASHINDA TUU KWANINI MSIKUBALI TURUDIE YAISHE TUU.

unajua maana Ya KuRa Kuharibika? Unadhani Unaamini kuwa ni kweli Mgombea Wa Chadema Alijitoa? Kipi ambacho Kitaufanya Uchaguzi Urudiwe Ikiwa Mgombea Wa Chadema alikua akifanya kampeni Kwa Siri? Hakuna Sababu Ya Kuurudia Uchaguzi Kwa Kuwa Anatropia ameuza Ushindi. Ukweli Usemwe bila Kuogopwa
 
Wana segerea sioni sababu ya kusababisha ukawa ufe, mimi mtatiro nimemuelewa na yule dada alishajitoa mapema, mbaya wetu ni NEC,ambayo inaonyesha waligoma kutoa jina la Anatropia ili kutuvuruga na kwa hili wamefanikiwa
 
Niliumia nimeumia na nitaendelea kuumia kumkosa Mtatiro segerea ila najipa moyo 2020 atachukua jimbo lake
 
hakuna cha mwanasheria hapo wala nini wote ni masela tuu na ma bwashe
 
Kwa bei gani?

Wewe ulitakaje? awe kama Mwakalebela? unaweza kuzibadili namba?

Anatumika vipi?

Unahitaji muda wa kujifunza na kuijuwa siasa na urudi shule ukajifunze hesabu, jumlisha kura za Mtatiro na za Anatropia utapata jibu kwa nini madiwani wote wameshinda Mtatiro akaanguka.

Mchawi wa Mtatiro ni mgombea wa Chadema. Fullstop
Matola

Kwanini kelele zimakuw anyingi huko segerea?
kwanini hatuzungumzii Ilala, Kigamboni je?
Tuambie huko nani katunyima ushindi ?
 
Last edited by a moderator:
matola

wakazi wa ilala,kigamboni ni tofauti na wakazi wa segerea, jimbo la segerea n
kwanini kelele zimakuw anyingi huko segerea?
Kwanini hatuzungumzii ilala, kigamboni je?
Tuambie huko nani katunyima ushindi ?

wakazi wa jimbo la segerea ni tofauti wa wakazi wa ilala, kigamboni hivyo unapokuja segerea ujue
upo segerea
 
Last edited by a moderator:
hakuna cha mwanasheria hapo wala nini wote ni masela tuu na ma bwashe

mkuuu haiwezekani kura 48000 according to nec tunavyosikia ni kura ziliziharibika . .......

Hata ingetokea anatropia amepata kura zaidi ya wote angewekea pingamizi sio mshindi maana inasemekana amejitoa mahakamani ,

na uchaguzi ungerudiwa sasa inakuwaje ndugu yetu mtatiro akiwa kama mwanasheria msomi amekubali kirahisi namna hii .......lakini kama ni kweli anatropiaa alijitoa kwa maelekezo ya chama kwanini anashidwa kwenda mahakamani kuweka pingamizi kwa ajili ya mgombea mwenzake wa ukawa...............

Mpaka sasa hakuna action yoyote iliyofanyika , huku mtaani watu wanalalamika inakuwaje jambo hili linatokea wahusika wakuu wako kimyaaa, ...

Hivi uongozi wa chadema,cuf jimbo la segerea hawalioni hili la mtatiro na anatropia na wao wako kimyaa tuu, ..
.mtatiro na anatropia wana account fb,hata jamii forum kwanini wanashidwa kutolea maelezo wananchi wabaki kuwa na amani kuliko kusikia kura 48000 ziliharibika hata mngeshinda mngewekea pingamizi.......


Mbona wenzao baada ya kuona dosari mapema nahawakudhishwa na matokeo wamekwenda mahakani, kama jambo dogo kama hili wanashidwa kulitolea ufafanuzi hata angalau
wapiga kura wao ikifika 2020 .
Mwisho mimi endapo zitapita siku tatu kuanzia leo bila maelezo yoyote nitawaweka hawa watu wote katika kundi la wasaliti si anatropia wala mtatiro
wote ni wasaliti kura 48000 zimeharibika na mko kimyaa
 
Daaaah nyie jamaa kweli ubongo wenu una matatizo. Hujuma mfanyiane wenyewe huko mnakuja hapa na visingizio kibao.
 
Manyumbu bana!,yalikua yakiona alama ya chadema tu,wanatia tiki,kumbe wanamnyonga mtatiro
 
Back
Top Bottom