Recent content by biasharaTz

  1. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Karibu tufanye biashara
  2. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Picha zipi wataka nipige tena nitume
  3. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Ahsanteee
  4. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Pesa yako kubwa lkn kwa laptop hii hapana upo chini sana. Maana nakuuzia laptop nzuri MashaAllah
  5. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Mkuu panda naamini hutajutia pesa yako kwa hii laptop coZ nilinunua mpya kabisaa. Nimepata laptop nyingine hii imekaa tu ndani nimeona niiuze
  6. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP elitebook laptop

    Habari zenu! Nauza laptop yenye sifa hizi: 1. Aina: hp elitebook 2. Processor: intel (R) Core (TM) i5-3337 CPU@1.8GHz 3. RAM: 6.00GB, HDD 500GB, Folio 9470m 4. System type: 64-bit 5. Rangi: silva, nyembamba na ni nyepesi kwa uzito 6. Betri: 4-5 hours 7. Hali yake: Imetumika miezi 8 Llakini...
  7. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Natafuta Laptop

    Sifa za laptop unayotaka mimi ninayo na siitumii kwa ss coz nina nyingine mpyaaaaaaa
  8. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Natafuta Laptop

    Habari Mkuu? Ulipata laptop? Kma bado nicheki 0755411455
  9. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

    Timu kapte ni mmoja wa wachezaji ambaye amechaguliwa kuwa kiongozi wa wachezaji wenzake dhidi ya timu pinzani. Miongoniwa vigezo mubimu vya kumchagua timu kapteni ni 1. Kuwa mwenye uzoefu zaidi (anaweza kuwa na umri kubwa zaidi ya wenzake pia) 2. Awe na sifa za uongozi ie commanding language...
  10. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari nzuri. Bajeti yangu ni mil 5 tu

    Habari zenu! Nahitaji gari nzuri ambayo itafaa kwa shughuli zangu za hapa mjini na mara moja moja safari za mbali kidogo. Bajeti yangu ni sh mil 5. (Opa, passo, starlet, gx 100 yyt sizihitaji) Kipaumbele changu ni gx 110, ipsum, raum. Suala la engine capacity kubwa sio tatizo. Karibu PM...
  11. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung A30 (Navunja pia)

    Unaponunua simu iliyotumika jitahidi kuhakikisha uhalali wa umiliki wa simu unayoinunua. Kesi za kuuzwa simu zilizoibiwa na kukamatwa mnunuzi zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kutokana na IMEI namba. Hivyo basi jitahidi unaponunua/kubadilishana simu iliyotumika kwa muuzaji au...
  12. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung A30 (Navunja pia)

    Nauza simu yenye maelezo 1. Aina ya Simu: Samsung A30 2. RAM 4GB 3. Internal Memory 64GB 4. Line 2 5. Battery 4000amH 6. Imetumika mwezi mmoja na siku kama 8 7. Rangi nyeusi, haina mpasuko wala mchubuko wowote, ina hali nzuri sana MashaAllah 8. Utapata kila kitu chake kama vile boksi, chaja...
  13. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari zenu wadau! Mwenye Kioo na touch nahitaji kwa ajili ya simu: Samsung A6 SM-T285 Napatikana Dar Whatsapp check 0755411455
  14. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Bei Ya Kioo Cha Samsung S8

    Nami naomba kujua bei ya kioo cha Samsung galaxy note 8!
  15. biasharaTz

    JamiiForums Tanzania Nauza simu: Sony Experia F3111

    Ni ofa nzuri Mkuu, naomba ufanye walau 200k tufanye biashara! Karibu kwa mjadala
Back
Top Bottom