Nauza simu: Sony Experia F3111

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Habari wanajukwaa!
Nauza simu yenye maelezo yafuatayo:
1. Aina: Sony Experia
2. Model: F3111
3. Rangi: Nyeupe
4. RAM: 2GB
5. Internal storage: 32GB
6. Network: 2G|3G|4G/LTE
7. OS: Android 7
8. Battery: 2600Amh (inakaa na chaji vema sana)
9. Line: line moja
10. Hali yake: Ina hali nzuri sana 'kama mpya'! Imetumika miezi miwili hapa Tanzania
11. Bei: 240,000TZS
12. Inapatikana: Kigamboni, Dar es Salaam lkn popote waweza kutumiwa
13. Mawasiliano: 0755411455 (Call|sms|whatsapp)

Angalizo: Kuna picha pana kama mstari hivi kwenye kioo, sio mstari bali kivuli cha simu ilitumika kupiga picha

Karibuni
20190812_083930.jpeg
20190812_083907.jpeg
20190812_083830.jpeg
20190812_083754.jpeg
 
Back
Top Bottom