Nauza Samsung A30 (Navunja pia)

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Nauza simu yenye maelezo
1. Aina ya Simu: Samsung A30
2. RAM 4GB
3. Internal Memory 64GB
4. Line 2
5. Battery 4000amH
6. Imetumika mwezi mmoja na siku kama 8
7. Rangi nyeusi, haina mpasuko wala mchubuko wowote, ina hali nzuri sana MashaAllah
8. Utapata kila kitu chake kama vile boksi, chaja, headphone, risiti et al

Kama wataka tuvunje
1. Nahitaji simu yenye RAM 6 au zaidi
2. Tafadhali isiwe Teckno, infinix au itel.
3. Simu yenye line mbili itapewa kipaumbele zaidi eg Oppo series yoyote, Samsung note muhimu RAM iwe kuanzia 6
4. Nipo tayari kuongeza pesa kutokana na makubaliano
5. Usalama wa simu kivielelezo vya umiliki utapewa kipaumbele zaidi (TCRA criteria for used mobile phones)

Kwa Mauzo
1. Bei 430,000 TZS negotiable
2. Ninapatikana Dar es Salaam
3. Mawasiliano 0755411455 (call| meseji|whatsapp)
IMG-20191129-WA0010.jpeg
IMG-20191129-WA0011.jpeg
IMG-20191129-WA0007.jpeg
IMG-20191129-WA0008.jpeg
IMG-20191129-WA0009.jpeg
 
5. Usalama wa simu kivielelezo vya umiliki utapewa kipaumbele zaidi (TCRA criteria for used mobile phones)

Naomba maelezo kidogo hapo
 
Unaponunua simu iliyotumika jitahidi kuhakikisha uhalali wa umiliki wa simu unayoinunua. Kesi za kuuzwa simu zilizoibiwa na kukamatwa mnunuzi zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kutokana na IMEI namba.

Hivyo basi jitahidi unaponunua/kubadilishana simu iliyotumika kwa muuzaji au mnaebadilishana nae akupe vielelezo kama

1. Risiti ya manunuzi (kama hana)
2. Copy ya kitambulisho chake
3. Mkataba wa kisheria wa manunuzi/kubadilishana

Waweza kumwamini na kudharau jambo hili lakini kama simu itakuwa na matatizo na mtu wa mwisho ni wewe hadi kuja kumpata muuzaji tayari ushapata usumbufu mkubwa sana

Asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom