Poleni Sana Mwaka huu mwafaaaaa...jipeni moyo tu lakini mjue mmechokwaa na mnaosupport haya mambo lazima mnauhusiano na CCM wa moja kwa moja labda MNA peana tenda au baba ni mtuflani CCM au akili zenu tu zimepumbazwa au mmeamua kujitoa ufahamu....ukweli ni kwamba kwa hali ya nchi hii ilivyo...
Ni ukweli mtupu ndugu.. Jamaa wanaongea vitu visivyo na mashiko yeye mwenyewe tayari hajakamilika amekatwa tayari sio mzima na Kama hajafanyiwa hilo basi Ni wakumuogopa Kama ukoma kwasababu anatatizo kubwa zaid
Polee Sana haya yote ni matokeo ya utawala mbovu uliokukuza...kuwa makini unaweza ukatangulia wewe kabla siku hiyo haujaishuhudia Mungu akusamehe hujui ulitendalo
Yaani hata mnazidi kutudhihirishia Ni jinsi gani rais mtarajiwa kawashika kunako yaani kawashika pabaya...tumeamua kumkabidhi Lowasa nchi ili tu kuondoa mfumo wa CCM na hill ndio LA msingi hata aingie na drips na machela au wheelchair tumeamua kuachana na mazoea ya CCM ikulu njia nyeupeee...by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.