MWANAWILE
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 277
- 135
Kuna jamaa alikuwa anapiga push ups Karagwe,amesahau anaomba kura ya kuwa Rais.Ama anadhani urais ni kama kuwa Baunsa wa Twaweza?
Mlitaka asemeje? Lowassa ndiyo tiba kwa maisha magumu ya Watanzania.
Ahadi zisizotekelezeka. Madini makubwa makubwa huyu mzee tatizo anaugwonjwa wa kusahau atasahiv kasha sahau kuwa anagombea urais
Sijaona cha kushangaa hapo
Kushindwa kwa wengine sio sababu ya magufuli kushindwa
Na hakika anavyovisema atavifanya ni mtu wa kazi
Whether ukubali au ukataye
Hapa kazi tu
Magufuli ndio rais na sera zake atatimiza
Saddam rais wa Kuwait, teh teh teheee!!! GeniusAhadi zisizotekelezeka. Madini makubwa makubwa huyu mzee tatizo anaugwonjwa wa kusahau atasahiv kasha sahau kuwa anagombea urais
Sijaona cha kushangaa hapo
Kushindwa kwa wengine sio sababu ya magufuli kushindwa
Na hakika anavyovisema atavifanya ni mtu wa kazi
Whether ukubali au ukataye
Hapa kazi tu
Magufuli ndio rais na sera zake atatimiza