....kwa kweli nimemsikiliza huyu mwenzangu na nimemuonea imani. Kama ni kweli anafanya haya mambo kwa ajiri ya rizki yake basi mwacheni jamani. Kila mtu atatoka kwa staili yake na usiogope kujaribu!Tofauti ya hapo ningesema Jamaa ana matatizo makubwa sana ya kisaikolojia kama mtoto wa kiume. Ila...
Usually I don't react well to threats...but with u I will make an exception. He is my President too am entitled to criticize his leadership and there is nowhere I have insulted him,read comments don't just use your emotions you fool!
Asante kwa kuleta mada nzuri sana,nami nililiona hilo nikastaajabu sana,Brigade Commander kuwa ADC hakumdhalilishi yeye tu bali muundo mzima wa jeshi. Brigade moja tu inatosha kuanzisha vita baina ya nchi na nchi,chini ya brigade Commander!Ni pale tu itakapozidiwa ndio tunapeleka re-enforments...
Kuitetea CCM kwa sasa ni lazima uwe na akili za mwendawazimu!La kuvunda halina ubani, dawa yake ni kufukia shimoni tu!Ni afadhari mnyamaze kimya na huo ufirauni wenu kuliko kuendelea kutupandisha jazba huku mitaani!!!CCM ni kama laana ya nchi hii,vijana wengine tuko tunafanya sala za toba kila...
Aisee we kama mimi kwa kweli,sijui ni lini tutapata viongozi majasiri watukusanye msituni tusake ukombozi wa kweli,yaani hizi siasa hazitupeleki kokote, nishachoka kabisa:target:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.