Recent content by Bhupe

  1. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Taratibu, acha kupaniki. Nani alitimuliwa? Muhongo alijiuzuru mwenyewe, hakutimuliwa. Kama huna information sahihi, usicomment, unajidhalilisha. Halafu pesa zako zipi? Kasome tena ripoti ya CAG uielewe ndo urudi.
  2. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Kwa bahati nzuri watu wa type yako historia inaonesha huwa hawapigi kura. Maneno meeeeengi, maandamano, vurugu na kulalamika ndiyo kazi yenu. Sisi wapiga kura tutampigia kura za ndiyo na tutakualika siku anaapishwa ujionee kwa macho.
  3. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Sasa mbona unajichanganya mwenyewe kwa andiko lako hilo Kitaja?! Hilo andiko lina apply kwetu tu tunaomkubali Muhongo? Wewe pia utakuwa umelaaniwa kwa kumtegemea MENGI, maana unahangaika sana kumtetea. Kwani ukitupilia mbali hivyo viposho anavyokupa kwa kumchafua Muhongo bila kosa utapungukiwa...
  4. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Bado; mtaweweseka sana. Kura za NDIYO atapata maana Watanzania tunamhitaji.
  5. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Ifike mahala huu upuuzi ukomeshwe. Hatuwezi kuendelea kuwapoteza viongozi wazalendo na wenye weledi wa hali ya juu kutokana na chuki za mafisadi papa wachache wanaodhani wamehodhi nchi hii. Mabadiliko yanaanzia kwa Muhongo. Tutampa kura zetu za ndiyo atuletee maendeleo ya kweli tunayoyahitaji...
  6. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Uamuzi ni wako. Sisi Watanzania wapenda maendeleo tunampenda na tutampigia kura.
  7. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Kasome ripoti ya CAG kwanza, kisha rudi ujenge hoja zinazoeleweka.
  8. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Nyabhingi, kwanini unawadhalilisha watanzania kwamba si wafuatiliaji wa mambo?! Ni lini Muhongo alipigwa chini uwaziri? Sote tulishuhudia Prof akijiuzulu mwenyewe wadhifa wake. Mwenzetu unatoa wapi taarifa hizo za uongo?
  9. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Ndugu yangu Nyabhingi, matusi na kejeli hayakusaidii. Unajidhalilisha. Chuki zako personal kwa Muhongo pia hazibadilishi ukweli kwamba jamaa anakubalika na wengi hasa wapenda maendeleo. Tafakari na uchukue hatua sahihi, hujachelewa.
  10. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Sioni logic katika hii comment yako. Issue si lini mtu kajiunga JF. Jenga hoja.
  11. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    IPILIMO, kwa kiasi fulani unanishawishi lakini, wizara kama ile ya nishati na madini inahitaji kiongozi msomi, mzalendo kwelikweli na asiyetetereshwa na mafisadi. Sifa hizo Muhongo anazo na ninaamini JK alimpa nafasi hiyo kwa kulitambua hilo.
  12. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    So, hao RAIA according to you ni Mengi peke yake? Kama Mengi ni mzalendo kama unavyodai, alishindwa nini kuviendeleza vitalu vya madini alivyopewa kabla kwa manufaa ya Taifa ukiwemo wewe? Kwa sifa hiyo hata mimi ningemwunga mkono kuwa apewe vitalu vya gesi. Anajilimbikizia tu mali kwa manufaa ya...
  13. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Sikubaliani nawe MTK. Najua wapo walio usingizini bado, wanaomwabudu fisadi Mengi kama Mungu-mtu wao. Hao ndio wanamwogopa Muhongo na wanahofu kubwa akirejea ulingoni. Kwa sababu hiyo wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanamchafua na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa hafai. Watanzania wengi...
  14. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Hapo ndipo tatizo lilipo. Fisadi Mengi hajazoea kuambiwa UKWELI. Hajazoea kukutana na KISIKI. Yeye alishazoea KUABUDIWA TU kama wewe na wezako wengine mnavyofanya. Sasa alipokutana na Mzalendo asiyetetereka, mwenye kusema ukweli daima bila kupindisha wala kubagua, ndo hapo chuki dhidi ya Prof...
  15. B

    Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Uko sahihi kabisa ndugu yangu Mtahengerwa.
Back
Top Bottom