Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hali imezidi ngumu sana nimeshindwa tu kuomba lakini nahitaji msaada wenu nauza simu yangu aina ya sSamsung s4.
Nimeitumia mda wa mwezi mmoja. Nahitaji nilipe hostel na kuendeleza maisha hapa chuoni nimepata dharura.
Namba yangu ni 0629267334..
I wish hii forum ingekuwa na like button, we get 2 knw many thnz that the gvt have kept quite abt them,.! Alafu miji2 mingine inackia raha gani kununua shati la 100,000 kama s.africa ni sh.10000, huo c ufahari bt ulimbukeni ona sasa mnaibiwa! Alowaambia kuvaa nguo za bei ndo kila k2 ni nani...
Wasemaji wa taifa wamezidi kuwa wengi. Watu wanatunga habari utadhani walikuwepo kwenye usahishaji. Siku zote kauli ya mwisho ni ya kiongozi husika katika masuala hayo na siyo laymen. Tusikurupuke na kutoa taarifa za uongo itawacost sana hasa katika issue za kitaifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.