Recent content by Bhahebhu

  1. B

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    MUHAS kinatoa madaktari wanaojua theory zaidi kuliko practical, ndio maana wewe tunakuambia hujui unachoongea na umekurupuka, na sio kosa la wanafunzi kwasababu kwa nature ya hicho chuo mwanafunzi hadi amguse mgonjwa ni shughuli pevu.
  2. B

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Kinachokusumbua wewe ni wivu na roho mbaya, kama unaona huruma usingekimbilia nje ungebaki kutibu watu wa nchi yako, wewe ni kati ya wale jamaa washamba sana.
  3. B

    Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

    Unadhani yale masofa na kiyoyozi unavyovitumia ukiwa private vinalipiwaje???
  4. B

    Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Ni ile iliyomchakaza Wydad 2 - 0 kwa mkapa.Sema tena
  5. B

    Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

    Apewe Makonda anatosha
  6. B

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Huu ni ukaidi wa hali ya juu sana, mhe.waziri hawa watu wachukulie hatua kali, unayo mamlaka ya kuifumua MCT. Kwanza imekuwa janga kubwa kwa madaktari. Nilikutana na daktari mmoja akanieleza hata walio makazini ni shida tu, hivi inakuwaje leseni ya udaktari alinew kila mwaka tena 150k utadhani...
  7. B

    Msaada wa mawazo: Nataka kuanza kilimo cha maharage

    Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target? Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
  8. B

    Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Mbaya zaidi wanasikia wenzao hospitali zingine washalipwa muda
  9. B

    Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Bora umeuliza wewe mkuu
  10. B

    Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Na kwa wale intern walionza mwaka jana utasema ni nn, kuna shida mahali, Mi kila siku natoa nauli na hela ya kula kwa kijana yupo intern ukiulza hela hatujalipwa
  11. B

    Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Ukiwa unamaanisha yeye amelipwa? Au anatumia pesa binafsi, mkuu kumbuka kuna vijana wanatoka familia maskini,kama huyo mdogo wako halii njaa bas ana other source ya kupata mlo. Kuwa serious na maisha ya watu
  12. B

    Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Wanabodi, hii ndio taarifa kubwa katika viunga vya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Temeke, takribani unaenda mwezi wa tatu sasa vijana wa intern (nurses, doctors, lab, pharmacist), hawajalipwa posho yao ya kila mwezi kwa mujibu wa mkataba. Hali hii imezua sintofahamu kubwa huku vijana hawa...
Back
Top Bottom