Maisha yapo na entertainment lazima iwepo, let them talk but honestly am diamond fan ila amekosea sana kutoa wimbo afta seduce me, zilipendwa ni mwimbo mzuri kuliko huo wa kiba but ye ndo kafanya hiyo attention iwepo, ila ndo burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaani huku ni soo watu 15% ndo habari ya mjini, lakini mimi nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje.
Mimi kama mteja nimesaini mkataba wa kulipa mkopo kwa 8% alafu baadae inakuja kuongezwa kwa 15% na unaanza kunikata bila makubaliano na wala mimi sijasaini mkataba wa 15% ya makato ila...
Tatizo ni kwamba kwa mfano Hawa made in China au global source wao ukirequest kitu wanakuunganisha na ma supplier wa hivyo vitu direct zen wao wanakutumia bidhaa walizonazo kwenye email direct na mode of payment Yao moja wapo ni bank account kwa swift code, je kwa mfano umelipa kwa bank afu...
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.