Recent content by Bf Tulinagwe

  1. Bf Tulinagwe

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tulinagwe
  2. Bf Tulinagwe

    Public apology kwa stellian Russu..

    Jf burudaaaaaani. Wewe kamama, mtunuku tu uyo kijana, hakuna namna wazee washabariki.
  3. Bf Tulinagwe

    GE2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Uyo jamaa kazoea sana kula na kutoa rushwa toka enzi za JMK. JMK na upole wake alimtumbua alivokua mkuu wa wilaya igunga
  4. Bf Tulinagwe

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Gwajima kifo cha mende miguu juu. Heko kwako Furaha Dominic kwa kuchaguliwa kuipeperusha bendera ya CCM
  5. Bf Tulinagwe

    Kama kuna Wanawake wakali wanataka watoto hawajapata

    haha, wanawake nao watakua machiz maarifa kama wewe, kupewa mimba na jobless, huyo mtoto nae atakua jobless no way.
  6. Bf Tulinagwe

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    Tatizo la wasomi wa kibongo wamejaa pride, kujishusha kwao mwiko.
  7. Bf Tulinagwe

    GE2020 Wabunge wa CCM mpya ni mkakati maalum wa kubadili katiba, Paul Makonda na Alexander Mnyeti ni kishindo kikuu

    Maswala yote yahusuyo corona na hili la kuingia uchumi wa kati kutangazwa muda mfupi kabla ya uchaguzi imekoleza sana umaarufu wa Magufuli. Magu sio level za akina Mbowe na Zitto, wapinzani msitegemee kuambulia chochote october. Magu hana nia ya kuongeza muda though personally ningetamani afanye...
  8. Bf Tulinagwe

    Ushuhuda wa uwepo wa mali za Kijerumani

    Umavi mwingine bna, fanyeni kazi vijana mzalishe., tamaa zitawatoa roho. watakaopigwa nao walewale, wanataka watembee juu ya ganda la ndizi, wapgwe tu hakuna namna.
  9. Bf Tulinagwe

    Pitia hii Marketing Company (Startup) utoe mtazamo

    Uko resi sana mkuu, kaa tulia tafakari kwa kina., unapopata wazo jipya akili ina desturi ya kujimwambafy due to over excitment. boresha wazo lako kwanza, umewaza ki analogy zaidi dunia inakotoka, ni sawa na anaewaza kutembeza magezeti in hardcopy, wakat platform ipo kuuubwa online.
  10. Bf Tulinagwe

    Mtazamo upoje kuhusu ajira?

    Huyo bado hajafeli kama personally haja admit his own failue., wanasema hata Roma haikujengwa ndani ya siku moja, unaemdharau leo, utamsalimia kwa heshima. it takes time to build a fortune. Presha wanayokupa watu waotamani kuona umefanikiwa ndio mara nyingi inayowakatisha tamaa vijana wengi...
  11. Bf Tulinagwe

    GE2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

    Utakua ulipitiwa mlango wa nyuma na mnyiramba ww na wambulu mnavogawa K ovyo kitaa kuna walakini. sio kwa chuki hizo ulizonazo dhidi yao. Alafu usichekeshe umati hapa, uko kwenu manyara kuna nini cha ziada knachokufanya ulete chuki zako za kikabila? Usituharibie tz mkuu, kosoa bila kuingiza...
Back
Top Bottom