Recent content by bexy

  1. B

    Msigwa: Posho na Mshahara wa Ubunge ni Haki Yangu Kwa Mujibu wa Sheria

    We zuzu na vuvuzela wetu kimada..unajuaje kama msigwa alikua anazungumzia posho ya makalio??? Maana hajsema kama ni posho ya makalio!! Wew ni mke wake au umbea tu unakusumbua???!! Mada yako yenyew hujasema ni posho ipi!! Achaga kukurupuka basiii..usiige kina pasco au mzee tupatupa..utachanika...
  2. B

    Lowassa wanatunduma tunakusubiri

    Fyatu na ww una busara??? Eti umemshauri lowassa..my a*s!!! Kwa hilo jina tu unaonekana unajitahid jopo la washauri utakua na mtindio wa ubongo
  3. B

    Nape Nnauye: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

    . "kwenye siasa za zama hizi kama wapinzani wataendelea kushi kwa matukio badala ya sera watakufa",Prof Kitila mkumbo. .
  4. B

    Msigwa: Posho na Mshahara wa Ubunge ni Haki Yangu Kwa Mujibu wa Sheria

    Hurraaaaaay Msigwa..bora uwe mkweli aseeeeee!!! Kama vp kuondolewa kwa posho kue fair yaan kuanzia rais mpk walimu na gambas ni wahuni wallahi..wanajifanya hwatak posho ya makalio ila ile posho nyingne kubwakubwa hakuna anaesema wote wanamute!!!
  5. B

    Waziri Nape futa matangazo ya tiba asili kwenye vyombo vya habari!

    Nguvu zako hazikurudiii???
  6. B

    Nyumba ya Sumaye kupigwa Nyundo mpaka Chini!

    Hyo hataa abomolewe pa kukaa hakosi,,,wananchi wa hali ya chini ndo wanaisoma namba!!! Nkajua ni nyuma anayoish now kama ndo anajenga ana shida gni ss?? Na kiinua mgongo cha uwazir mkuu bado anacho???
  7. B

    Prof. Muhongo afanya Kikao na Viongozi jimboni kwake Musoma

    Khaaa!!! We nawe si ulale tu usingiz uishe??? Wahaya bana....
  8. B

    Kikwete aongoza jopo teule la umoja wa mataifa kukabiliana na majanga ya afya duniani

    Hya ABUNUASI na kipenzi chako MFALME JUHA
  9. B

    Jamvi la Habari ni gazeti la ACT-Wazalendo?

    Na cjui ana hasira ya kutimuliwa na Mbowe yuko bize twitter anatweet habari za mbowe tu
  10. B

    Jamvi la Habari ni gazeti la ACT-Wazalendo?

    Hilo ni jamvi la Mbowe la wala si habari!! Eti ayumbisha dola, si heri yye imeyumba kuna mswahili mmoja kaizamisha kabisa dola ila hawamuoni!!! Watakua walimtong*za Mbowe akakataa c bure
  11. B

    Jamvi la Habari ni gazeti la ACT-Wazalendo?

    Hilo ni jamvi la Mbowe la wala si habari!! Eti ayumbisha dola kuna mswahili mmoja kaizamisha kabisa dola ila hawamuoni!!! Watakua walimtong*za Mbowe akakataa c bure
  12. B

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangala afanya ziara ya kuhstukiza hospitali za rufaa Lindi na Mtwara

    Anajitahid kweli ila tu awe ana ban matumzi..hayo makamera, nauli na waandishi wa habari anaozunguka nao ni shidaaaa!!!! Ajifunze kupiga selfie na wagonjwa na matabibu!!! EKOTITEEEE
  13. B

    2020 Magufuli atapata kura za vijijini na si mijini

    Mtanzania miaka yote analima sshv hakuna atakae vumilia kulala njaa!! Watu washachoka..Magufuli akitaka afanye ziara mpk Mbugan ila people want to eat!! Kama hakumuelewa Hashim Rungwe basi tena!! A hungry man is an angry man!! Akusanye tu hizo tilion ila at end of the day watanzania wanatakaa...
  14. B

    Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    Taarifa hii iwafikie pia Usher Raymond na Trey Songz..Polen na Msiba familia ya Jakaya!! May her soul rest in peace
Back
Top Bottom