Lowassa wanatunduma tunakusubiri

Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,537
597
Rais wa mioyo yetu wana Tunduma ni Edward Lowassa,tuliwapa kura zetu kwa wungi madiwani wa CHADEMA,mbunge na hata rais,hii imesababisha CHADEMA kuongoza halmashauri ya Tunduma.Lowassa njoo japo tukuone na tuongee na wewe,wana Tunduma tumekumiss sana ,huku CCM tumeedelete kabisa
 
Una wazimu wewe hapa kazi tu

Wazimu wenda unao wewe unayetaka kuzuia hisia za watu zisijiachie kwa wanachokiamini...kazi kitu gani miaka yote mlikuwa wapi msifanye kazi...leo hii mmekurupuka km mmefufuka kutoka wafu nakusema eti hapa kazi tu....mtawadanganya wachache.
 
Mh Lowasa hana time na ni mgonjwa, nyie mmempa kuna nyingi, mmepata Mbunge na diwani, na Wao wamepata ongezeko la ruzuku babu kubwa, biashara kwisha, Mbunge na madiwani wamitosheleza na tafadhali msije mkafanya makosa ya kutaka share yenu ya ruzuku madiwani wenu watatimuliwa kama wa Arusha.
 
Fanya kazi...kama mmezoea uvivu wa kukusanyika kwenye mikutano ya siasa January to December pole.

Mwenyekiti wenu alitaka jamaa azunguke nchi nzima lakini wenye busara tumemshauri awasiliane na vituo vya televisheni na redio huo ujumbe wake utafika tu.
 
Jipime,haya unayoyaongea yana tija kwa taifa na jamii inayokuzunguka?badilika usilazimishe nyekundu kuwanyeusi.
 
utafiti nilioufanya maeneo kama ya tunduma walipoipa chagadema kura nyingi wananchi wanajuta...wanaaibu walidhani luwasa angeshinda urais hadi wakayapigia kura mawe yakapata udiwani na ubunge...

sasa wameona kazi ya magufuli wanatamani apite maeneo yao ili waungame...2020 hawatarudia kuchagua mawe...

kule tunduma mbunge wao darasa la 4 kisa yuko chadema, madiwani hawajui hata kuandika na meya nasikia ni darasa la 6 kazi kwelikweli...
 
nitafanya ziara ya siri huko tunduma kuona ni watu wa aina gani wanaishi katika mji huo. kila nikiwawaza sipati picha.
 
hawa ndio walikuwa wanashinikiza kwenye katiba mpya kiwango cha elimu cha mbunge kiwe kidato cha nne. sasa mbona kwenye vyama vyao hilo halitekelezwi...
 
Rais wa mioyo yetu wana Tunduma ni Edward Lowassa,tuliwapa kura zetu kwa wungi madiwani wa CHADEMA,mbunge na hata rais,hii imesababisha CHADEMA kuongoza halmashauri ya Tunduma.Lowassa njoo japo tukuone na tuongee na wewe,wana Tunduma tumekumiss sana ,huku CCM tumeedelete kabisa
Waiting in vain(?).
 
Fanya kazi...kama mmezoea uvivu wa kukusanyika kwenye mikutano ya siasa January to December pole.

Mwenyekiti wenu alitaka jamaa azunguke nchi nzima lakini wenye busara tumemshauri awasiliane na vituo vya televisheni na redio huo ujumbe wake utafika tu.

Fyatu na ww una busara??? Eti umemshauri lowassa..my a*s!!! Kwa hilo jina tu unaonekana unajitahid jopo la washauri utakua na mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom