Recent content by Bexb

  1. Bexb

    JamiiForums Tanzania Msaada, kufahamu utaratibu wa kuingiza viuatilifu kutoka nje ya nchi

    Shukrani sana
  2. Bexb

    JamiiForums Tanzania Msaada, kufahamu utaratibu wa kuingiza viuatilifu kutoka nje ya nchi

    Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
  3. Bexb

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Hasa Kisota, Kibada, Geza hadi Mwasonga na Mwongozo ni 🔥🔥🔥
  4. Bexb

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Mkuu mimi sio dalali. Hiyo bei ni ya mwenye kiwanja, na ukihitaji hicho kiwanja nitakukutanisha na mwenyewe mmalizane
  5. Bexb

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Najaribu kuweka picha lakini nashindwa. Mtakaohitaji picha na video tafadhali Whatsapp 0755963775
  6. Bexb

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati ya wizara 🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa. 🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
  7. Bexb

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya honda maji inauzwa Tsh600,000. Chombo haina shida

    NimekuDM hujajibu, bado hiyo pikipiki ipo?
  8. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    1. Kwa TRA (PAYE na SDL) utakua na options ambaoo ni either uwasilishe zero return kwa paye kwa maana ya kuwa huna mfanyakazi ama uwasilishe 'director fee' hii ni PAYE inayokatwa toak kwa mkurugenzi mfaanyakazi wa kampuni. 2. Kuhusu NSSF na WCF. Hizi pia utawasilisha kulingana na ulichofanya...
  9. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

    Kwa nilivyoelewa swali lako 1. Certificate of registration for TIN ni kile cheti cha usajili wa mlipa kodi yaani cheti cha TIN inaweza kuwa Business TIN ama non-business TIN 2. Service Levy. Huu ni ushuru wa huduma ambao hulipwa katika halmadhauri nadhani huwa ni 0.5% ya mauzo kwa kila robo...
  10. Bexb

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, Tanzania kuna Trust Funds

    Inawezekana kabisa mkuu. Usajili wake unafanyika RITA
  11. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Ndio
  12. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Tangazo lipo wazi mkuu kulingana na wahusika wanachotaka
  13. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Asante kwa maoni mkuu, karibu.
  14. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Nitafikisha maoni mkuu. Asante
Back
Top Bottom